Divorce leo leo

Divorce leo leo

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,545
Reaction score
15,781

6777ab681dfd1479d370197ea79d704d
 
Hivi waliosema macho hayana pazia walimaanisha nini hasa?
 
somtimes hata wanawake wanapenda kuona wanaume wao active. hasa mzigo ukipita mkali mwanaume utulie mkeo atakuchukulia poaa,aisee
 
Unageka unakuta jamaa anataka kujikwaa kwa hiyo kitu ni hapo hapo haina mjadala maana hayo ni maradhi na kwake hayana tiba
 
Wenye ugonjwa huu sa hivi tuko wengi sijui unasababishwa na mdudu gani.
 
Kazi ya Muumba lazima uisifie, hapo anamsifia Muumba alioko juu.
 
Bi harusi furaha imemjaa tele kiasi kwamba hata akimuona mumewe atapuuzia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom