Divide and Rule is back to TANZANIA!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Divide and Rule is back to TANZANIA!!!!

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by Cheguemtz, Aug 8, 2011.

 1. Cheguemtz

  Cheguemtz New Member

  #1
  Aug 8, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wafanyakazi TBL tunaomba serikali iingilie kati swala lililopo kati ya Management ya TBL na wafanyakazi la sivyo wazawa tutazidi kunyanyaswa ndani ya nchi yetu! Makaburu wamewatunuku madaraka baadhi ya wazawa na hivyo kushindwa kututetea hata pale tunapokuwa na madai ya msingi.... Na hii mimi naiita "DEVIDE AND RULE" kwani hawa viongozi wazawa wanadanganywa kwa mishahara mikubwa ya nafasi wanazozawadiwa pasipokuwa na elimu na sifa za nafasi husika... Mnamo tarehe 04 August 2011 Mwenyekiti wa chama cha wafanyakzi(TUICO) tawi la TBL Dar amesimamishwa kazi eti kwa tuhuma ameshinikiza mgomo wa wafanyakazi siku ya tarehe 03 August 2011. Suala lilipo hapa ni madai ya maslahi kwa wafanyakazi kulingana na hali ya kampuni kwani kila baada ya miezi minne MD hutoa brief ya muelekeo wa kampuni na huwa anaelezea faida kubwa TBL inayoipata lakini ukifika wakati wa negotiation kati ya Management na TUICO kuhusu maslahi ya wafanyakazi huwa wagumu kutupatia kiwango kinachoendana na hali ya kampuni... Why????? Mwenyekiti wa TUICO alituhumiwa kuwa anatumiwa na chama cha siasa kuandaa maandamano ya wafanyakazi TBL kitu ambacho sio kweli. Media nyingi nchini huwa hazireport uozo wa TBL kwa kuwa kuna tetesi kuwa TBL huandaa tafrija kwa ajili ya wafanyakazi wa media nchini kama ilivyokuwa hapo mwaka huu iliyojulikana kama Media Funny Day ambapo walivalishwa T-Shirt zenye nembo ya TBL. Hivi kweli tutafika kama hali yenyewe ndivyo ilivyoooo?
  TBL kuna uozo mwingi sana lakini hakuna hatua zinazochukuliwa na serikali ama wadau wake... Serikali inayakumbatia maovi ya TBL kwa sababu shria ya uwekezaji nchini ina mapungufu mengi. Tunaomba msaada wenu Jamii Forum ili tujikomboe wazawa kwani serikali yetu imeshindwa kumlinda mwananchi wake.

  Cheguemtz!
   
 2. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Wanao husika huko TBR watumwagie nyeti hapa kisha wadau watashiriki kutafuta maajibu ya nini kifanyike kuokoa wazawa wakibongo.
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ila huwa nakereka sana ninapoona mtz mwenzangu anamkandamiza mtz mwenzake na kuwa wakala wa wazungu ni aibu!
  Ukifa tutakokuzika ni sisi waafrika wenzio huna budi uwatete waafrika wenzio
   
 4. M

  Magane Member

  #4
  Aug 10, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  <br />
  <br />
  ukishangaa ya musa utayaona ya filauni. Njoo kwa ndugu zao ilovo sugar kilombero.Wao divide and rule ndiyo sera yao haina tofauti na hapo tbl. Hawa makaburu wanajeuri ya pesa we acha tu. Weusi wateule wachache wananeemeka tu. Hadithi ile ya mipini ktk msitu imeisahau?
   
Loading...