Mtafiti77 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2011 Posts 1,938 Reaction score 2,356 Jul 28, 2019 #161 ELI-91 said: vipi ikiwa ni yeye pia anayeandika huku JF kwa multiple IDs? Click to expand... Hata ukitumia stori ama kazi yako bado unapaswa kutonesha marejeo, yani wapi kazi imetoka. Hicho usemacho, ni nani ataweza kuthibitisha kuwa ni yeye?
ELI-91 said: vipi ikiwa ni yeye pia anayeandika huku JF kwa multiple IDs? Click to expand... Hata ukitumia stori ama kazi yako bado unapaswa kutonesha marejeo, yani wapi kazi imetoka. Hicho usemacho, ni nani ataweza kuthibitisha kuwa ni yeye?
D Daddi JF-Expert Member Joined Jan 6, 2017 Posts 890 Reaction score 1,401 Sep 18, 2019 Thread starter #162 Naona sikuhizi kajifunza, leo nmemsikia akisimulia thread fulani ya jf, akasema kabisa amerefer JF.
Duduvwili JF-Expert Member Joined Jan 31, 2015 Posts 4,699 Reaction score 4,911 Sep 19, 2019 #163 Yamakagashi said: Mbona hana shingo ? Click to expand... Ukisikia Kobe ndio hao mkuu