Diva The Boss Kwenye Ala Za Roho Clouds Fm,.

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,845
23,166
Habari wana MMU,.

Nafahamu wengi wetu tunafuatilia kipindi cha mwanadada Diva kinachorushwa na Clouds Fm,.

Kuna wimbo huwa unasikika katika background wakati akiendelea kuzungumza,.

Huu wimbo naupenda sana ila sijapata kujua ni Muimbaji gani kaimba na Jina la Muimbaji huyo,.

Tafadhali kwa anayefahamu anifahamishe ili niutafute nipate kudownload,.

Natanguliza shukrani,..
 
Kwani hii redio bado ipo mambo ni 93.7 efm

Hawa 93.7 EFM nadhani nyuma yao lipo kundi kubwa sana la mafisadi maana haiwezekani wawe na uwezo wa kukodisha wasanii kibao kwenye promo zao, mfano uwanja wa Mwembayanga watu walijaaa ile mbaya sasa Jpili kule kwa Mtogore nako walifunika na kote huko kuna magari ya FFU ya kutosha wakati benki zetu zinaibiwa mchana kweupe lakini ulinzi ni hafifu ila kwenye matamasha hayo ya 93.7 EFM askari wanapatikana tena wa kutosha
 
Huyu bidada mfano imetokea demu wangu ningekuwa na vidumu kibao pembeni hanivutii kbs I don't know why.Ila sio namchukia.
 
Back
Top Bottom