Diva: GK Hakuwa Romantic kwenye mapenzi Ukauzu mwingi

Kikubwa kala mzigo hayo mengine ni mbwembwe tu
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
 
Maua tu au kuna lingine? Isiwe uasharati upo kwenye damu halafu anatumia kigezo cha kutopelekewa maua ndio ampige kubuti GK.
 
Diva michosho...alishindwaje yeye kuyanunua hayo mahitaji.? pesa si anayo...

demu wa dizaini hiyo hata umpe almasi haridhiki...atataka na mengine na mengineyo...
 
GK naye hakuwi, bado ana swaga zilezile za east cost vs tmk.

muonekano wake unajieleza.
 
Leo kupitia Clouds FM Mtangazaji wa kipindi cha Ala Za Roho "Diva" ametoa sababu za yeye kumuacha MwanaBongoFlava wetu King Crazy GK. kupitia kipindi cha leotena ya clouds fm Diva amesema GK hakuwa romantic, mfano matukio ya muhimu kama birthday, christmas diva alitegemea kupata zawadi kama maua, Keki na vitu vingine ka hivyo ila GK alimpa mikausho mikali kwenye upande huo kana kwamba ni vitu vya kawaida sana kwenye maisha ambavyo havihitaji kupewa priority kiviile. Mwanadada huyo kwa sasa yupo kwenye relationship na msanii mwengine wa bongoflava aitwae Heri Muziki.

RAI: wanaume wenzangu wa darisalama tujifunze kitu kwa GK. hata kama ni ugumu basi sio poa kuuapply hadi kwa mpenzi wako aseeh.


View attachment 679649

Imebaki story



Wanawake hudatishwa na vitu very minor
 
Hawa watu wa ajabu sana
Wengine wanataka Maua
Wengine pesa
Wengine wanataka uwachimbe chumvi
Wengine wanataka muhogo, ngumu sana kuwaelewa hawa viumbe anyway wacha tuishi nao kwa akili
 
Mama Gaude wangu nimpelekee maua anaweza kucheka mpaka watu wakamshangaa, maana kijijini kwao ni chakula ya mbuzi tu.
 
Diva endeleza mtungo mama yule mwanasiasa kijana alishapita najua chapa lapa mama haina milage hiyoooo.
 
Huyu kuna mahali aliandika akimwita majina yote hapa duniani huyu jamaa. Leo anamponda! Nimesahau ni wapi, ningekopi
 
Mpaka umri huo bado anataka mapenzi ya kupelekewa maua...aisee naona umeona noma kutaja pesa maana anajisemega yeye ni mtafutaji pia mshua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom