Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 10,935
- 20,185
Wekeni basi video
jf ni shida sana jaman looohSioni mwanaume hapa au hii picha imekua cropped?
Siyo kila mtu ni muumini wa viongozi wa dini,sisi wengine tunawaona hao kama wapiga Dili tuuu.Hivi ndio naimagine mzazi anaona hii picha au kiongozi wa kiimani anaona hiyo picha, yaani ni aibu mwisho wa siku unaweza kudhalilika kuwa ati hawa ndio nakuja kuwaoza....
Kwa jina lingine wanamwita sijui shishi babyKwani diva ndio nani????
Kweli
Dogo ana miaka 22 anavaa vipensi namna hii unategemea ataweza kuongea maneno ya busara redioni