sikiliza mdogo wng,achana na fikra za udsm na mzumbe tu,huko kuna competition sana na pia mafisadi wote wanafikiria kuwapeleka watoto wao huko hata kwa kuwalipia hvyo chance hazitatosha,ungepiga one ya tano,nne,hadi tatu angalau,kuna koz nzuri tu zitakazokutoa muccobs,sua,chuo cha serikali za mitaa n.k,using'ang'anie huko tu mdogo,fikiria na out of the box