Bsch of Law UDSM

Turbo man

Member
Jul 25, 2021
8
4
Wakuu samahani nilikuwa nauliza kwa mtu mwenye ufaulu wa div one ya8 (1.8) HGL kwa ufaulu wa mwaka huu 2021 ulivyo na ushindani uliopo pale UDSM je, ana asilimia kubwa kupata kuchaguliwa kozi ya law hapo UDSM kwa hiyo one ya point 8...huyo mtu ashaa apply tayar hapo hiyo kozi ya Law.. nawasilisha kwa niaba ya aliyeomba shida yake iwasilishwe
 
Hivi una akili timamu wewe,hapo unaomb msaada au unataka kuwachosha watu,ushaomba baki na mungu wako majibu yatoke unaleta mada hii ili iweje.leta form four index number yako pm kwangu
 
Wakuu samahani nilikuwa nauliza kwa mtu mwenye ufaulu wa div one ya8 (1.8) HGL kwa ufaulu wa mwaka huu 2021 ulivyo na ushindani uliopo pale UDSM je, nina asilimia kubwa kupata kuchaguliwa kozi ya law hapo UDSM kwa hiyo one ya point 8... Nishaa apply tayar hapo hiyo kozi ya Law
La msingi usiweke mayai yako yote kwenye kapu moja au sivyo ndoto yako yaweza kupotea.
 
Hivi una akili timamu wewe,hapo unaomb msaada au unataka kuwachosha watu,ushaomba baki na mungu wako majibu yatoke unaleta mada hii ili iweje.leta form four index number yako pm kwangu
Kama kutumia lugha rafiki kwa mtu huwezi basi haina ulazima wa ww ku-comment, ungetulia tu
 
Wakuu samahani nilikuwa nauliza kwa mtu mwenye ufaulu wa div one ya8 (1.8) HGL kwa ufaulu wa mwaka huu 2021 ulivyo na ushindani uliopo pale UDSM je, nina asilimia kubwa kupata kuchaguliwa kozi ya law hapo UDSM kwa hiyo one ya point 8... Nishaa apply tayar hapo hiyo kozi ya Law
NB:Nimewasilisha tu kwa niaba ya mtu.. sio mimi niliye na swali hili au shida hii maana mm nishamalizaga mda tu hiyo form six
 
Back
Top Bottom