MELEKIZEDECK
Member
- Sep 25, 2012
- 15
- 0
Pamoja na kuwa dit ndicho chuo cha technolojia hapa nchini lakini huwezi amini kimeshindwa kudhihirisha kwa vitendo ufanisi wake anglia web site yake ni kama ya wakulima tu mambo ya miaka iliyopita ndiyo yanaonekana hakuna vitu vipya sii hivyo tuu matokeo ya supplimentary kwa wanafunzi bado mpaka sasa hayajulikani na ni wiki ya nne toka chuo kifungue wanajisajili huku hawajui hatima ya mitihani hiyo
uongo mtupu na kujisifu kwa ukilaza huwezi kulinganisha dit na hiki kijichuo cha kishenzi cha st.jojesph ni bora niishie form six kuliko kusoma st.josephnjo kwe2 st joseph bt yakupasa uwe na ujitoe kikamlf huku hakuna kulala!teknloja juu.walmu we2 n updated;
Pamoja na kuwa DIT ndicho chuo cha technolojia hapa nchini lakini huwezi amini kimeshindwa kudhihirisha kwa vitendo ufanisi wake, angalia website yake ni kama ya wakulima tu mambo ya miaka iliyopita ndiyo yanaonekana hakuna vitu vipya sii hivyo tuu matokeo ya supplimentary kwa wanafunzi bado mpaka sasa hayajulikani na ni wiki ya nne toka chuo kifungue wanajisajili huku hawajui hatima ya mitihani hiyo.[/QUOTE
WATU WALIOFELI SHULE....UTAWAJUA TUUUU........

WATU WALIOFELI SHULE.....UTAWAJUA TUUU MANENO YAOOO
WATU WALIOFELI SHULE....UTAWAJUA TUUUU........
njo kwe2 st joseph bt yakupasa uwe na ujitoe kikamlf huku hakuna kulala!teknloja juu.walmu we2 n updated;
mmh!!kwa ngazi ya bachelor bado ila kwa ngazi ya diploma ndo wanatoa kwa sasahv DIT wanatoa bachelor in laboratory science and technology?
lakini wanazalisha wataalamu wazuri sana wa technology
uongo mtupu na kujisifu kwa ukilaza huwezi kulinganisha dit na hiki kijichuo cha kishenzi cha st.jojesph ni bora niishie form six kuliko kusoma st.joseph
DIT wapo juu ila st joseph wapo juu pia...hatupimi ubora wa chuo kwa uchanga tunapima kwa miundo mbinu na ufanisi wa product zake,ni kwamba hakuna ubishi st joseph wamesimama hasa katika maswala ya technology na engineering!DIT huwez compare na st.joseph iko chuo cha seminary bdo kchanga xana.DIT wapo juu kwa roho xafi