DIT ni chuo cha technolojia lakini hakilingani na hiyo sifa hata kidogo

MELEKIZEDECK

Member
Sep 25, 2012
15
0
Pamoja na kuwa DIT ndicho chuo cha technolojia hapa nchini lakini huwezi amini kimeshindwa kudhihirisha kwa vitendo ufanisi wake, angalia website yake ni kama ya wakulima tu mambo ya miaka iliyopita ndiyo yanaonekana hakuna vitu vipya sii hivyo tuu matokeo ya supplimentary kwa wanafunzi bado mpaka sasa hayajulikani na ni wiki ya nne toka chuo kifungue wanajisajili huku hawajui hatima ya mitihani hiyo.
 
Pamoja na kuwa dit ndicho chuo cha technolojia hapa nchini lakini huwezi amini kimeshindwa kudhihirisha kwa vitendo ufanisi wake anglia web site yake ni kama ya wakulima tu mambo ya miaka iliyopita ndiyo yanaonekana hakuna vitu vipya sii hivyo tuu matokeo ya supplimentary kwa wanafunzi bado mpaka sasa hayajulikani na ni wiki ya nne toka chuo kifungue wanajisajili huku hawajui hatima ya mitihani hiyo

njo kwe2 st joseph bt yakupasa uwe na ujitoe kikamlf huku hakuna kulala!teknloja juu.walmu we2 n updated;
 
njo kwe2 st joseph bt yakupasa uwe na ujitoe kikamlf huku hakuna kulala!teknloja juu.walmu we2 n updated;
uongo mtupu na kujisifu kwa ukilaza huwezi kulinganisha dit na hiki kijichuo cha kishenzi cha st.jojesph ni bora niishie form six kuliko kusoma st.joseph
 
Ulichoandika ni tofauti Na maelezo yako wewe ni mwanafunzi wao Mensa ukawaambie hayo mambo
 
Pamoja na kuwa DIT ndicho chuo cha technolojia hapa nchini lakini huwezi amini kimeshindwa kudhihirisha kwa vitendo ufanisi wake, angalia website yake ni kama ya wakulima tu mambo ya miaka iliyopita ndiyo yanaonekana hakuna vitu vipya sii hivyo tuu matokeo ya supplimentary kwa wanafunzi bado mpaka sasa hayajulikani na ni wiki ya nne toka chuo kifungue wanajisajili huku hawajui hatima ya mitihani hiyo.[/QUOTE

WATU WALIOFELI SHULE....UTAWAJUA TUUUU........
 
WATU WALIOFELI SHULE.....UTAWAJUA TUUU MANENO YAOOO

WATU WALIOFELI SHULE....UTAWAJUA TUUUU........
 
njo kwe2 st joseph bt yakupasa uwe na ujitoe kikamlf huku hakuna kulala!teknloja juu.walmu we2 n updated;

teh teh teh!!mwambie uyo aje huku kwetu st.joseph hakuna kulala wala kula bata kizembezembe na huku hatutoki kama wahitimu bali tunatoka kama maprofesssional
 
Tatizo Utawala wa DIT wanamkwamisha Proff: Christian Nyahumwa, ila wangempa ushirikiano nadhani chuo kingeenda mbali sana kwa mda mfupi, maana Proff: John Kondoro anamajukumu mengi sana kitaifa na kimataifa na hilo Lina,fanya kushindwa kuwajibika kwa DIT ipasavyo, kuhusu matokeo ya supplementary inaonekana ww ni mwaka aw kwanza, ni kawaida matokeo kuchukua mda huo ila wiki hili yatatoka. Welcome first year lini? Mwaka jana tulifanyia Diferential hotel sinza, je mwaka huu mnafanyia wapi? Alafu naona idadi ya Wanawake imeongezeka... Mr, Nzumbi ameanza kuwasikia kilio chenu maana kaona vijana mnakufa kwa uchupa...
 
uongo mtupu na kujisifu kwa ukilaza huwezi kulinganisha dit na hiki kijichuo cha kishenzi cha st.jojesph ni bora niishie form six kuliko kusoma st.joseph

kaka kajipange upya;inawezekana umeishia form six kweli kutokana na ukilaza wako naow day we look smartness katika utendaji wa kazi na sio jina la chuo lakini systeam ya chuo inaweza kusaidia kumfanya mwanafunzi awe mtendaji mzuri kazini;kama hutakuwa jeuri nakukaribisha japo uje uibie kuingia vipindi vyetu kwa wiki moja hasa katika pra
cticals ndo uje uandike maoni yako hapa
m
 
Kaka unaonekana ulisupplimentary nipe jina nkuangalizie, matokeo yapo ila hayajabandikwa
 
Hawa watoto wanavuta sana mibangi mimoshi yote watupulizia huku CBE, Yaan hawa wataalamu wavuta bangi sina imani nao hata kiduchu
 
DIT huwez compare na st.joseph iko chuo cha seminary bdo kchanga xana.DIT wapo juu kwa roho xafi
DIT wapo juu ila st joseph wapo juu pia...hatupimi ubora wa chuo kwa uchanga tunapima kwa miundo mbinu na ufanisi wa product zake,ni kwamba hakuna ubishi st joseph wamesimama hasa katika maswala ya technology na engineering!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom