Wimbo wa 2pac ninaoupenda sana ni changes na do for love. Mengine tu ni upepo wa watu kumpenda 2pac na mimi nikajikuta nimo humo sina hata sababu ya msingi.Binafsi nampenda Busta Rhymes kuliko rappers wote ila tuacheni unafki aisee hili li Jay Z Lina michano 2 pac akasome
Mkuu Jigga anachana kikubwa sana. We sikiliza tu empire state of mind uone linavyojidundisha kwenye beat. 2 pac changanya wote na biggie wote ni form one tu kwa Hov. Ngoma zake zote ni unyama mtupuWimbo wa 2pac ninaoupenda sana ni changes na do for love. Mengine tu ni upepo wa watu kumpenda 2pac na mimi nikajikuta nimo humo sina hata sababu ya msingi.
Ila jay z, namwelewa toka kid mpaka leo na kuna mistari yake huwa inaninspire. Jamaa linajua kinoma
I still remember the "Renegade" masssacre!HOV did
200k ni hela ndogo sana kwa msanii wa level ya Tupac Mkuu.Net worth was USD 200 thousands at the time of his death
Jigga alikuwa na bei gani kwa wakati huo200k ni hela ndogo sana kwa msanii wa level ya Tupac Mkuu
Pac alipoteza pesa nyingi tu sabb ya makosa ya jinaiJigga alikuwa na bei gani kwa wakati huo
Unakosea kumfananisha Tupac na Jay. Tupac katoa albamu yake ya kwanza mwaka 1991 wakati Jay katoa yake 1996. Hata hivyo nina uhakika Jay alikuwa na hela nyingi zaidi ya 200k kwa kuuza albamu yake ya Reasonable Doubt. Kufikia mwaka 1996 alipotoa All Eyez On Me, Pac alitakiwa kuwa milionea tayari.Jigga alikuwa na bei gani kwa wakati huo
Ni kweli Tupac alikuwa na kesi nyingi lakini sidhani kama ndio zilimmalizia hela, ni kwamba hakuwa na hela ya kutosha kutokana na kutokuingiza hela aliyostahili.Pac alipoteza pesa nyingi tu sabb ya makosa ya jinai
To be fair to Jay, Tupac na Biggie walikuwa tayari wana majina makubwa. Jay katoa albamu yake ya kwanza mwaka 1996, mwaka ambao Tupac alikufa. Suala la kwamba Jay asingeng'aa kama Tupac na Biggie wasingekufa is mere speculation.Wakati pac na Biggie wapo hot jigga alikuwa si kitu, ka penetrate baada ya vifo vya hao marraper
Kwa mantiki hiyo Tupac atabaki kuwa 🐐To be fair to Jay, Tupac na Biggie walikuwa tayari wana majina makubwa. Jay katoa albamu yake ya kwanza mwaka 1996, mwaka ambao Tupac alikufa. Suala la kwamba Jay asingeng'aa kama Tupac na Biggie wasingekufa is mere speculation.
That's debatable. Is he among the greats? Definitely. Is he the GOAT? It depends who you are asking.Kwa mantiki hiyo Tupac atabaki kuwa [emoji238]
I got youThat's debatable. Is he among the greats? Definitely. Is he the GOAT? It depends who you are asking.