Disrespectful to 2PAC

Disrespectful to 2PAC

wanajua mnawapigania ama mnajipendekeza kwa marehemu na mtu aliyehai mwenye uwezo wa kujitetea?

katafute hela
 
Binafsi nampenda Busta Rhymes kuliko rappers wote ila tuacheni unafki aisee hili li Jay Z Lina michano 2 pac akasome
 
Binafsi nampenda Busta Rhymes kuliko rappers wote ila tuacheni unafki aisee hili li Jay Z Lina michano 2 pac akasome
Wimbo wa 2pac ninaoupenda sana ni changes na do for love. Mengine tu ni upepo wa watu kumpenda 2pac na mimi nikajikuta nimo humo sina hata sababu ya msingi.
Ila jay z, namwelewa toka kid mpaka leo na kuna mistari yake huwa inaninspire. Jamaa linajua kinoma
 
FB_IMG_16844553321780778.jpg
 
Wimbo wa 2pac ninaoupenda sana ni changes na do for love. Mengine tu ni upepo wa watu kumpenda 2pac na mimi nikajikuta nimo humo sina hata sababu ya msingi.
Ila jay z, namwelewa toka kid mpaka leo na kuna mistari yake huwa inaninspire. Jamaa linajua kinoma
Mkuu Jigga anachana kikubwa sana. We sikiliza tu empire state of mind uone linavyojidundisha kwenye beat. 2 pac changanya wote na biggie wote ni form one tu kwa Hov. Ngoma zake zote ni unyama mtupu

Hii ngoma ya God Did ile ngoma kila ukihis amemaliza ndo anaanza
 
PAC ni image.......
Influential, anauzika. Hata kama hujawahi msikia ukimuona tu lazima Umzingatie ujue kuna nini humu............
Music wise ni mkali, ila kwangu sio number moja and will never be.
Wasanii wengi ni wakali kumzidi, The notorious BIG, Nas, and Em comes before him.
 
Jigga alikuwa na bei gani kwa wakati huo
Unakosea kumfananisha Tupac na Jay. Tupac katoa albamu yake ya kwanza mwaka 1991 wakati Jay katoa yake 1996. Hata hivyo nina uhakika Jay alikuwa na hela nyingi zaidi ya 200k kwa kuuza albamu yake ya Reasonable Doubt. Kufikia mwaka 1996 alipotoa All Eyez On Me, Pac alitakiwa kuwa milionea tayari.
 
Wakati pac na Biggie wapo hot jigga alikuwa si kitu, ka penetrate baada ya vifo vya hao marraper
To be fair to Jay, Tupac na Biggie walikuwa tayari wana majina makubwa. Jay katoa albamu yake ya kwanza mwaka 1996, mwaka ambao Tupac alikufa. Suala la kwamba Jay asingeng'aa kama Tupac na Biggie wasingekufa is mere speculation.
 
Kwa mantiki hiyo Tupac atabaki kuwa 🐐
 
Back
Top Bottom