Ndg zangu Nina shida ninaomba mnisaidie kunipa maelezo kwa anayefahamu haya maswala. Mimi nilikuwa nikisoma moja ya kati ya vyuo vikuu vinavyopatikana hapa nchini(nisingependa kukitaja). Lakini mwaka huu nilikuwa disqualified kwasababu ya discipline (disciplinary issue). Sasa ninauliza unapokuwa disqualified kwa sababu ya nidhamu kuna uwezekano wa kuomba chuo tena ukapata? Msaada jamani.