Display ya TV nch 42 flat used inahitajika

Display ya TV nch 42 flat used inahitajika

Al-akhdally

Member
Joined
Jul 3, 2018
Posts
99
Reaction score
119
Wakuu nimevunja TV yangu aina ya CONDOR nchi 42, display nimeulizia dukani bei Yake imenishinda. kama kuna mtu alieua board ya flat nch 42 naomba tuwasiliane kwa namba yangu 0783973428 tufanye biashara aniuzie kioo kama spare.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LICHADI,
Kwanini? Tv yangu Sony 48' madogo wamegonga kioo na ule wino umesambaa kwenye angle moja. Nilikuwa na mpango wa kutafuta display.
 
Yan bei ya kioo ni kama unanunua tu TV mpya. Kuna TV nilinunua 450,000. Ilipopasuka kioo bei 370,000/ tofauti Tsh elfu 80

Dumelang
 
Back
Top Bottom