Display ya Samsung j1_6

Feb 8, 2017
79
27
Wakuu habar zenu..simu yang Samsung J1-6 ime kufa display...ntaka kujua bei ya display model yake J120 ...Kama kuna anayetaka kununua anichek PM tuongee bei
 
Hapo tatizo ni LCD, na utakapobadilisha LCD basi Bei yake ni sawa na kununua Simu nyingine mpya.

Hizi simu mpya ikiroga LCD basi matengenezo yake bei zinapishana kidogo sana na Simu mpya
 
Hapo tatizo ni LCD, na utakapobadilisha LCD basi Bei yake ni sawa na kununua Simu nyingine mpya.

Hizi simu mpya ikiroga LCD basi matengenezo yake bei zinapishana kidogo sana na Simu mpya
Du apo sasa it's bid nikauze bei ya kutupa
 
Back
Top Bottom