Kwa upande wangu ninavyoona
1. Hard drive itakuwa imetumika muda mrefu (kama ulinunua used) kwa hiyo inapoteza uwezo polepole.
2. Kuna partition ilicorrupt, kwa hiyo inakuwa imepungua space yake.
3. Hard drive ni ya ubora wa kiwango kidogo. Siku hizi pia kuna hard drives nyingi tu hazina ubora kwa hiyo huwa zinakufa kwa style hii, nyingine itakuandikia 0bytes ikishafika stage hii. Yaani hard drive nyingi siku hizi ukitumia kidogo utakutana matatizo kama hayo, kwa hiyo kupoteza data inatomea sana kama hukuwa na backup ya data zako.