mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,337
- 12,469
Mbona sioni hiyoIngia kwenye window search bar andika disk part itakuja create hdd partition then nenda kaselect disk nyeusi iyo afu create new volume
iyo 746 ndio space halisia iyo TB ilikua ni mbwembwe. Kunamafekechee uwa yanafanyika ila ukiiformat tu inarudi kwenye uhalali.Mbona sioni hiyo
Nimejaribu kwenye storage Management
Disk management
Halafu nikakuta ipo hiyo 746 na nyingine empty chini yake haijawekwa lebel na haiselect
Hapana,hii nimekaa nayo kwa miaka mingi kidogo nasio Mara ya kwanza kuifomat Ila nahis kwenye kimake partion Kuna hio partition kubwa ya 2.2T si kuitengenezaiyo 746 ndio space halisia iyo TB ilikua ni mbwembwe. Kunamafekechee uwa yanafanyika ila ukiiformat tu inarudi kwenye uhalali.
Iyo nayo
Asante naomba muongozo zaidiWipe kwa kutumia aomei itaonyesha ukubwa kamili
Bwege weNgoja waje kukupa muongozo...
ingia gugo andika aomei downloadAsante naomba muongozo zaidi
Hio aomei naipataje
Hata kwenye simu?ingia gugo andika aomei download
download kwenye simu, hamishia kwenye pcHata kwenye simu?
Alikuawaga Mbunge huyo...Bwege we
Kama unatumia windows 10 bonyeza button ya Windows pamoja na X itakuja menu, chagua disk manager, then utaonyeshwa ujazo wa hard drive yako. Then angalia kama Hard drive yako itakuwa na unallocated space, unallocated space ni space ambayo, haijawa allocated kuwa partition. Hivyo unaweza kuextend volume yako pamoja na hiyo unallocated space ukapata ujazo kamili wa harddrive yako.Hard disk langu lilikuwa 3Tb sijui wakati wa kuformat nimebonyeza wapi limebaki 746Gb .
Naombeni mwenye ujuzi anisaidie jinsi ya kuurudisha volume yake halisi
Mm natumia window 7Kama unatumia windows 10 bonyeza button ya Windows pamoja na X itakuja menu, chagua disk manager, then utaonyeshwa ujazo wa hard drive yako. Then angalia kama Hard drive yako itakuwa na unallocated space, unallocated space ni space ambayo, haijawa allocated kuwa partition. Hivyo unaweza kuextend volume yako pamoja na hiyo unallocated space ukapata ujazo kamili wa harddrive yako.
Ok siyo mbaya, click start, halafu nenda kwenye search box andika disk management, halafu fungua hapo then fuata maelekezo hapo juu. Au kama utapata tabu unaweza kutumia snipping tool kupiga screenshot na kuipandisha hapa ili tupate picha halisi ya tatizo na kuweza kushauriana zaidi mkuu.Mm natumia window 7
Imeandikwa disk 1 hiyoOk siyo mbaya, click start, halafu nenda kwenye search box andika disk management, halafu fungua hapo then fuata maelekezo hapo juu. Au kama utapata tabu unaweza kutumia snipping tool kupiga screenshot na kuipandisha hapa ili tupate picha halisi ya tatizo na kuweza kushauriana zaidi mkuu.
Inaonekana kweli imepungua space, ina muda gani tangu umeinunua?!
Sasa na wewe ndugu unapandishaje screenshot mbaya hivi isiyosomeka!! Utasaidiwaje sasa?
Naona hapo hajapiga screenshot mkuu, amepiga picha kioo, lakini ukizoom unasoma vizuri tu mkuu.Sasa na wewe ndugu unapandishaje screenshot mbaya hivi isiyosomeka!! Utasaidiwaje sasa?