wakuu naombeni msaada nawezaje kuseti receiver kwenye dish ambalo lishakuwa installed tayari, i mean nataka kuongeza receiver ya pili kwenye dish lenye receiver nyingine tayari?
chomeka incha 1 ya cable kwenye rcva iliyounganishwa kwenye ungo(tumia shimo la lnb/loop out) na incha iliyobaki chomeka kwenye rcva ya pili(secondary rcva) kwenye shimo la lnb in. Mwisho set rcv ifanane na rcva uliyounganisha 1kwa1 na ungo.ukishindwa hiyo ntakuambia njia nyingine ambayo itakugharim kidogo kwan itakulazimu kununua v2 fulani