dish moja ving'amuzi viwili, is it possible?

Mayu

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2010
Posts
8,691
Reaction score
14,379
Wadau nina dish na king'amuzi changu sebuleni lakini kutokana "ushindani" wa kuangalia Tv kutoka kwa watoto, ndugu na hg imebidi nitafute tv nyingine nimeweka chumbani

Najiuliza naweza kununua king'amuzi kingine nikaweka geto ili tusiingiliane kila tv ionyeshe chaneli zake lakini kwa kutumia dish moja tu?
 
Nadhani inawezekana, lakini inatakiwa uwe na LNB ambazo ni hybrid meaning that inaweza kusupport kuonyesha channel 2 tofauti zenye polarity tofauti.
Ukiwaona mafundi wa kufunga madishi watakuelekeza zaidi.
 
Inawezekana kabisa, mtafute fundi atakuelekeza kuna kakifaa kengine ka hapo kwenye dish itabidi ununue pia. Mie sio mtaalam sana ila ila mzee wangu alifanya hivyo kwa tv ya chumbani kwake na sitting room.
 
yaaah inawezekana kabisa tena bila mwiingiliano..wowote..nunua lnb ya single solution 1 na spilitter ya njia 2 hapo mambo yatakuwa shwaariiiii mimi dish moja tunatumia watu 3 na kila mtu na receiver yake..
 
Ok nimewaelewa nitacheck na mafundi
 
je dish moja unaweza kutumia kwa zuku na star times? au zuku na digitek?
 
Kwa tunaotumia Ving'amuzi peke yake inamana haiwezekani king'amuzi kimoja kikatumia tv mbili sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…