Mohamedi Mtoi
R I P
- Dec 11, 2010
- 3,321
- 6,328
Bila shaka kwenye vichwa vya magazeti tajwa hapo juu kesho ni mwendo wa propaganda tu juu ya Dr Slaa na CHADEMA.
Tujiandae kisaikojia kusikia vichwa vya habari vikisema "Slaa kutumuliwa chadema kwa maandamano", "BAVICHA kwa chafuka, wataka Slaa ang'olewe", "CHADEMA hali si shwari, vijana wataka Slaa ang'olewe"
Kwa kuwa magazeti hayo tajwa yamekaa kipropaganda kwa lengo la kuendelea kutumika kwa mpango maalumu nimeona niwaze ya leo maana ikimpendeza Mungu tutayaona ya kesho na hata kesho kutwa.
Yatacheza ngoma ya kitoto ambayo ambayo mara zote huwa haikeshi.