Disemba 15, 2012 kipimo cha ujinga kwa magazeti ya HabariLeo, Uhuru na JamboLeo

Dec 11, 2010
3,321
6,327
Bila shaka kwenye vichwa vya magazeti tajwa hapo juu kesho ni mwendo wa propaganda tu juu ya Dr Slaa na CHADEMA.

Tujiandae kisaikojia kusikia vichwa vya habari vikisema "Slaa kutumuliwa chadema kwa maandamano", "BAVICHA kwa chafuka, wataka Slaa ang'olewe", "CHADEMA hali si shwari, vijana wataka Slaa ang'olewe"

Kwa kuwa magazeti hayo tajwa yamekaa kipropaganda kwa lengo la kuendelea kutumika kwa mpango maalumu nimeona niwaze ya leo maana ikimpendeza Mungu tutayaona ya kesho na hata kesho kutwa.

Yatacheza ngoma ya kitoto ambayo ambayo mara zote huwa haikeshi.
 
Mimi ninapoona haya nainua macho juu maana ukombozi wa Taifa hili umefika...

Yesu Kristo au nabii Issa aliwai sema kabla ya wakati wa kuja kwake kutatokea misukosuko na mambo kama hayo. Mimi naona huu uzushi, upuuzi na ujinga dhidi ya CHADEMA na Dr Slaa ni moja ya tanuru la kuipitisha CHADEMA iive kwa ukombozi.

Hakika tusimame imara tutashinda, Dr Slaa ni mwiba wanatafuta namna ya kuhafifisha jitihada zake za ukombozi, CHADEMA ni safina ya ukombozi ambayo kila mtanzania mpenda mabadiliko anapaswa kuingia, yoyote atakayekutwa nje atapotea milele.
 
Watajitahidi sana lakini bado mabadiliko ni mpango wa Mungu. Mkono wa shetani hautakuwa na nafasi maana sauti ya wengi ilisemwa na wajuvi wa mambo kuwa ni sauti ya Mungu. Mungu akiwa upande wa wengi, shetani anakuwa upande wa wachache wasio penda kufanya yanayo wapendeza wengi.
 
Ndugu yangu Mohamedi Mtoi, nzeze!

Mkuu bahati mbaya timing yao kwenye hili ni very poor. Utapiga propaganda ya kijinga kama hiyo kipindi ambacho watu hata mlo mmoja kuupata ni tabu?
 
Last edited by a moderator:
Hayo magazeti ya kufungia vitumbua na propaganda zake z almostly outdated ktk hiki kizazi cha dotcom toka kipindi kile after general election 2010 walikuwa ni mabingwa wa kuandika " ooh mara CHADEMA imekufa etc"
sasa ni mwendo mperampera na makamanda hakuna tena to fear the propagandaz.
 
Watajitahidi sana lakini bado mabadiliko ni mpango wa Mungu. Mkono wa shetani hautakuwa na nafasi maana sauti ya wengi ilisemwa na wajuvi wa mambo kuwa ni sauti ya Mungu. Mungu akiwa upande wa wengi, shetani anakuwa upande wa wachache wasio penda kufanya yanayo wapendeza wengi.

Mipango wa Mungu gani?
 
Mkuu Mzito Kabwela Niwedi mkuu n'zeze! Umenena kweli kakab tatizo wenzetu hao wanatumia fursa ya hali mbaya kwa watanzania kupenyeza uzushi na uwongo ili waendelee kujihalalishia kushika madaraka. Kumbuka jinsi walivyo gawa mahindi kule Igunga wakati wa kampeni, kwa nini wasinge walisha watu hoja kama walikuwa nazo.

Timing yao kwenye hili ni dhaifu sana na kesho kama roho zikiwa hai ndio utajua nni jinsi gani vyumba vya habari vinaendeshwa kwa remote control kutokea Lumumba. Tuombe Mungu tuione kesho nita ku-pm.
 
Bila shaka kwenye vichwa vya magazeti tajwa hapo juu kesho ni mwendo wa propaganda tu juu ya Dr Slaa na Chadema.

Tujiandae kisaikojia kusikia vichwa vya habari vikisema "Slaa kutumuliwa chadema kwa maandamano", "Bavicha kwa chafuka, wataka Slaa ang'olewe", "Chadema hali si shwari, vijana wataka Slaa ang'olewe"

Kwa kuwa magazeti hayo tajwa yamekaa kipropaganda kwa lengo la kuendelea kutumika kwa mpango maalumu nimeona niwaze ya leo maana ikimpendeza Mungu tutayaona ya kesho na hata kesho kutwa.

Yatacheza ngoma ya kitoto ambayo ambayo mara zote huwa haikeshi.

Mkuu ongezea na Majira siku hizi.
 
Chadema hatuna muda sisi tunatoboa tu na M4C ngoja matembezi ya kutunisha mfuko wa M4C yaive wataisoma no hizi propaganda mimi hata haziniumizi kichwa.

Zinazidi kutufanya tujue nani mamluki nani hafai kwenye chama muda utaongea zaidi.

Vijani ni kizazi cha mbwa sitabadili huu msemo sababu najua vijana wengi ni njaa wanataka nyumba nzuri,gari zuri,demu mkali,wale starehe si makamanda toka mwanzo.
 
Bila shaka kwenye vichwa vya magazeti tajwa hapo juu kesho ni mwendo wa propaganda tu juu ya Dr Slaa na Chadema.

Tujiandae kisaikojia kusikia vichwa vya habari vikisema "Slaa kutumuliwa chadema kwa maandamano", "Bavicha kwa chafuka, wataka Slaa ang'olewe", "Chadema hali si shwari, vijana wataka Slaa ang'olewe"

Kwa kuwa magazeti hayo tajwa yamekaa kipropaganda kwa lengo la kuendelea kutumika kwa mpango maalumu nimeona niwaze ya leo maana ikimpendeza Mungu tutayaona ya kesho na hata kesho kutwa.

Yatacheza ngoma ya kitoto ambayo ambayo mara zote huwa haikeshi.

- Duh! kwanza mlianza kurushiana viti wenyewe kwa wenyewe huko MWanza na Musoma, Mkaanza kukatana majina ya kina Zitto wasigombee Uenyekiti wenu, Mkaanza kutimuana huko kwenye matawi yenu ya Ulaya, sasa mnataka kuingilia mpaka uhuru wa magazeti, siyekubali wimbo wa Slaa wa kumukubali na kadi yake ya CCM basi hafai!!

- Wallahi nyinyin mnazidi kujenga hoja nzito sana kwa jamiii kwamba hamufai kupewa uongozi wa Taifa, yaani nyinyi kila mtu ni mchawi ila sio nyinyi wenyewe? sometimes mjiangalie wenyewe kwa wenyewe jamani, mkianza kushambulia mpaka magazeti sasa mnakuwa Crying Babies!!

Es!
 
Mkuu Majanikv
"Msemo wa vijana ni kizazi cha mbwa" duh mkali sana.

Ccm wanatumia vyombo vya habari visivyo makini kuwalisha watanzania uharamia wa habari. Inasikitisha sana kuwa na serikali inayorubuni wananchi wake kwa kutumia vyombo vya habari. Ile tbc1 ndio kabisa imekuwa kama ofisi ndogo ya chama.

Watafanya sana propaganda lakini hawata kaa salama kuelekea 2015, nafsi zao zitawasuta sana na watakufa kwa presha kwa dhambi zao.
 
Mkuu nakuambia sisi vijana tuna tamaa za ajabu sana hakika hiki kizazi ni kibovu kuliko vyote subiri utaniambia.
 
Last edited by a moderator:
- Duh! kwanza mlianza kurushiana viti wenyewe kwa wenyewe huko MWanza na Musoma, Mkaanza kukatana majina ya kina Zitto wasigombee Uenyekiti wenu, Mkaanza kutimuana huko kwenye matawi yenu ya Ulaya, sasa mnataka kuingilia mpaka uhuru wa magazeti, siyekubali wimbo wa Slaa wa kumukubali na kadi yake ya CCM basi hafai!!

- Wallahi nyinyin mnazidi kujenga hoja nzito sana kwa jamiii kwamba hamufai kupewa uongozi wa Taifa, yaani nyinyi kila mtu ni mchawi ila sio nyinyi wenyewe? sometimes mjiangalie wenyewe kwa wenyewe jamani, mkianza kushambulia mpaka magazeti sasa mnakuwa Crying Babies!!

Es!

Always sounding like ugly woman!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom