Disemba 15, 2012 kipimo cha ujinga kwa magazeti ya HabariLeo, Uhuru na JamboLeo

Mtoi
Mkuu umetaja orodha ndefu ambayo haina kichwa wala miguu ni yaleyale tu; katika orodha ya hakunaga umesahau vitu hivi ongezea
Hakuna katibu yoyote aliyetekeleza familia yake kwasababu ya kimada
Hakuna katibu yoyote aliyepora mke wa mtu.
Sasa rejea kwenye orodha yako ya hakunaga nitajie waziri wa serikali aliyetamka anamuogapa Slaa, tupe uthibitisho wa madai ya kutaka kuuliwa na serikali ni hadithi za kuunga uunga ambazo hazina mshiko masikioni mwa wenye weledi wa kuchanganua mambo, mkuu vifaa ajitegee mwenyewe kwa kutaka umaarufu halafu aisingizie serikali? Mkuu nina uhakika unajua nini maana ya serikali hivi sasa hivi wakitaka kujua Slaa kavaa chupi gani watakwambia.
Mkuu hapa Monga wanavijiji wapo happy na maisha yao kila kitu mswano tu zamani nilikuwa silali siku kwa jinsi serikali inavyotekeleza mipango yake ya maendeleo najisikia raha sana mambo supper ule mpango wa 2020 unaendelea vizuri kaka siku hizi mkeka hadi Mombasa sera za CCM zinafanya kazi.
Chama
Mongavyeru

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Muda wote kazi kuita wanaume tuu mara Mkuu chama simama mwenyewe jibu hoja mwenyewe sio kuita migamba wenzio kutwa nzima kama umeshindwa logout kanywe gahawa

Mkuu Ritz jihadhari wale wa mtaa wa Togo wameingia cha Pele hicho bati lake sio mchezo; angalau cha Sadar ukioga bati lake linashuka
Chama
Mongavyeru

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Si na wao Chadema wafanye chaguzi ndani ya chama chao ili wajiimalishe zaidi kifikra na kimtizamo.Kuyalaumu magazeti pekee haitoshi kwani ni magazeti haya haya ndio walio wengi uyatumia kufahamu nchi inakwendaje.Kutokufanya chaguzi za ndani chadema kunaweza kukawa ni mojawapo ya mambo yanayokidhoofisha chama.Tena chaguzi hizo nazo yapasa zianzie ngazi ya chini.Ili kujenga imani ya chama kwa wananchi kwamba chama si mali ya mtu/watu fulani Chadema yawapasa kujenga/kuwa na ofisi zao ikiwezekana kila kata nchi kabla ya 2015.Sioni tatizo kwa magazeti kuwa ya kipropaganda maana mbamba ngoma...............................Hivyo hoja kuu hapa ni namna gani Chadema inajipanga kuanzia sasa kuingia ikulu ama kuongeza nafasi mbalimbali za ubunge na udiwani kuelekea 2015.
 
Ritz!
Hapa ndio huwa nakuona wakati mwingine kuwa si bure una ka mdudu kanakosumbua ubongo wako.

Kwa hiyo unataka kusema kuwa kwa kuwa wameshinda ubunge wizi na ubadhirifu walio ufanya kwa taifa hili unafutika?! Kwa hiyo kwa vile change ni mbunge tuache kuhoji fedha za rada na vile vijisenti kule visiwa vya jersey?! Ki mantiki kwa ulicho kisema ni kwamba na wewe ukituibia kesho kutwa ukiwa mbunge basi unakuwa huna hatia?! Hivyo hivyo ile kampuni iliyo kamatwa na pembe za ndovu isichukuliwe hatua kwa kuwa niya katibu wa chama?!

Una tatizo ndugu yangu sio bure!

Nikisoma post zako uwa nacheka sana jinsi unavyojikomba kwa Dr Slaa na Chadema.

Wewe ndani ya Chadema ni sawa sawa njiwa kwenye kundi la kunguru. Ukitaka kujijua kama wewe na takataka jaribu kugombea cheo chochote cha BAVICHA uone. Chadema na Mohamedi wapi na wapi.

Mwenzako Mkandara kaishatambua ukweli ndani ya Chadema wewe endelea na utumwa. Unajifanya kubadili kauli umesena "hakuna kama Dr Slaa" hiyo ni sifa ya Mungu. Ulivyobanwa unasena hakunaga. Ha haa ha.
 
Last edited by a moderator:
unafanya vema kubadilisha mada, nyie ndio mapandikizi yaliyopo CDM,
hamna kitu unachojua zaidi ya kuleta fitna katika jamii. Unaweza
kujitetea lakini wewe ndio umekuwa wa kwanza kuleta udini kwenye hii thread. thread inaongelea magazeti ukuona cha kuchangia zaidi ya tofauti ya Issa na Yesu!
Haya, Turudi kwenye mada
 
Bila shaka kwenye vichwa vya magazeti tajwa hapo juu kesho ni mwendo wa propaganda tu juu ya Dr Slaa na CHADEMA.

Tujiandae kisaikojia kusikia vichwa vya habari vikisema "Slaa kutumuliwa chadema kwa maandamano", "BAVICHA kwa chafuka, wataka Slaa ang'olewe", "CHADEMA hali si shwari, vijana wataka Slaa ang'olewe"

Kwa kuwa magazeti hayo tajwa yamekaa kipropaganda kwa lengo la kuendelea kutumika kwa mpango maalumu nimeona niwaze ya leo maana ikimpendeza Mungu tutayaona ya kesho na hata kesho kutwa.

Yatacheza ngoma ya kitoto ambayo ambayo mara zote huwa haikeshi.

Na kesho kichwa cha habari kwenye gazeti la Tanzania Daima unahisi kitakuaje?
 
Mtoi
Mkuu umetaja orodha ndefu ambayo haina kichwa wala miguu ni yaleyale tu; katika orodha ya hakunaga umesahau vitu hivi ongezea
Hakuna katibu yoyote aliyetekeleza familia yake kwasababu ya kimada
Hakuna katibu yoyote aliyepora mke wa mtu.
Sasa rejea kwenye orodha yako ya hakunaga nitajie waziri wa serikali aliyetamka anamuogapa Slaa, tupe uthibitisho wa madai ya kutaka kuuliwa na serikali ni hadithi za kuunga uunga ambazo hazina mshiko masikioni mwa wenye weledi wa kuchanganua mambo, mkuu vifaa ajitegee mwenyewe kwa kutaka umaarufu halafu aisingizie serikali? Mkuu nina uhakika unajua nini maana ya serikali hivi sasa hivi wakitaka kujua Slaa kavaa chupi gani watakwambia.
Mkuu hapa Monga wanavijiji wapo happy na maisha yao kila kitu mswano tu zamani nilikuwa silali siku kwa jinsi serikali inavyotekeleza mipango yake ya maendeleo najisikia raha sana mambo supper ule mpango wa 2020 unaendelea vizuri kaka siku hizi mkeka hadi Mombasa sera za CCM zinafanya kazi.
Chama
Mongavyeru

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Mkuu.
Naona umeanza kuwa kama nduguyo na wewe huoni aibu kusema ni mambo yaleyale! Ni mambo yaleyale lakini yenye madhara makubwa kwa taifa kwa sasa na haa baadae.

Mkuu nikukumbushe kuwa hili ni jukwaa la siasa tunajadili mambo ya kisiasa sio mambo ya chumbani! Hayo mambo binafsi sio mahali pake hapa! Tunajadili mustakabali wa taifa letu kupitia ya mambo mazito aliyoyasema Dr Slaa akiwa bungeni na nje ya bunge.

Kujadili maisha binafsi ya mtu ni ukame wa maono na jukwaa kama hili si mahali pake ndio maana wewe huwezi kuanika nyendo zako binafsi hapa.

Unataka ushahidi jinsi baadhi ya mawaziri wanavyo muogopa Dr Slaa kuliko mwenyekiti wenu?! Mbona wapo wengi tu! Unamkumbuka Dr kamala aliyekuwa waziri wa afrika mashariki alipofanya mjadala na star tv mwaka 2010 alisema nini? Unawezekana hukumbuki gonga hapa umuone na kagasheki anasemaje... https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/359256-ushahidi-wa-video-ya-hotuba-kagasheki-asibishe-yoote-aliyoyasema-kuhusu-meya-haya-hapa.html

chama unashangaza sana! Hebu waza kidogo kama uko kijijini basi! Hivi unataka kusema hata ile list of shame pale mwembeyanga Dr Slaa alikuwa anatafuta umarufu wa kujitegea majina mdomoni na kumtaja mpaka baba mwanaasha?! Ni msiba kwa mtu kama wewe kujifanya huoni kuwa ufisadi umewaathiri wa Monga! Pesa zilizo fichwa Uswis ni karibu Trilioni 13. Jiulize zingejenga barabara ngapi au mashule na vituo vya afya vingapi hapo Monga ambapo bado mabus yanatoka alfajiri na kurudi jioni kama zile za kweusi?!

Barabara ya Tanga Mombasa kweli ni barabara nzuri sana! Najivua kodi yangu na msaada wa george bush kwa nchi kujenga barabara ile.
 
Last edited by a moderator:
Mtoi
Mgosi yaani gazeti likiandika kile ambacho hukubaliani nacho kwako ni kipimo cha ujinga? Kipimo cha busara ni Tanzania daima?

Chama
Gongo la mboto DSM
Mapumzikoni Monga vyeru

- So mnataka kila gazeti bongo liwe kama Tanzania Daima? Is that so?

Es!

- Ila ningekwua kama muandishi wa Tanzania Daima ningekwua Rais right?

Es!

- Sema unajichukia mwenyewe, huwezi kulichukia gazeti ambalo linaripoti habari tu ni wajibu wako kuthibitisha kwamba linaandika habari za uongo, kitu ambacho huwezi mbona hulichukii Tanzania Daima? Mmeishiwa hoja sasa mnaingilia mpaka media? duh! kweli Kinana kiboko yao!!

Es!

Kuna gazeti lenye kipimo cha ujinga kama Tanzania Daima.

Limetoa picha kubwa ya Tyson na kuandika operesheni ya Tyson kuwa mwanamke yafanikiwa.

Kuna kipimo cha ujinga kama hichi.

logo2.gif
400.gif
blank.gif
l_ban.jpg
blank.gif
jumapili, 1 januari 2012
Yaliyopita​
" 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 29 30 31 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 2012 2011 2010 2009
Pekua Tovuti​
blank.gif
blank.gif
blank.gif
blank.gif
blank.gif
blank.gif
blank.gif
grad4.gif
blank.gif
blank.gif
blank.gif
blank.gif
blank.gif
Mtikisiko CCM 2012
earpiece.gif
Mbinu za kumng’oa Lowassa zakamilika
[Mwandishi wetu]
MWAKA 2012 tuliouanza leo unabashiriwa kuwa mgumu zaidi katika medani ya kisiasa, hasa kwa Chama cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Daima Jumapili limedokezwa...​
blank.gif
blank.gif
free.ban3.jpg
ban.center.jpg
blank.gif
blank.gif
Hukumu ya Hamad Rashid yaiva[Mauwa Mohammed]
h.sep7.gif
blank.gif
Yathibitika anataka kumng’oa Maalim Seif
HATIMA ya Mbunge wa Jimbo la Wawi (CUF), Hamd Rashid Mohammed na wenzake 14 wanaodaiwa kuendesha njama za kumng’oa madarakani Katibu Mkuu wa chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad, itajulikana Januari 4, mwaka huu...​
blank.gif
h.sep7.gif
bullet7.gif
Habari za Kitaifa
bullet8.gif
Luhanjo: Nimeacha nidhamu Ikulu, serikalini [Irene Mark]
 
Mkuu Ritz jihadhari wale wa mtaa wa Togo wameingia cha Pele hicho bati lake sio mchezo; angalau cha Sadar ukioga bati lake linashuka
Chama
Mongavyeru

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Ha haa ha Mkuu chama, kitu cha Khyber.
 
Last edited by a moderator:
Na kesho kichwa cha habari kwenye gazeti la Tanzania Daima unahisi kitakuaje?
Kamati kuu ya Chadema yakaa Dar,

  • wasaliti waomba radhi kwa Dr Slaa
  • Mbinu za Nape za kuwahonga Bavicha zagundulika
  • Dr Slaa awapa siku 3 kukabidhi pesa za CCM kwake
 
Kamati kuu ya Chadema yakaa Dar,

  • wasaliti waomba radhi kwa Dr Slaa
  • Mbinu za Nape za kuwahonga Bavicha zagundulika
  • Dr Slaa awapa siku 3 kukabidhi pesa za CCM kwake

Hahaha mkuu umeongea mambo wasiyotaka kusikia. Wao wannataka kusikia Dr Slaa kang'olewa chadema kwa kumiliki kadi ya kina Nape.
 
Ninachokifahamu ni kuwa magazeti mengi sasa hivi yanauzika kwa taabu sana. Ngoja jina zito la Dr Slaa lisaidie angalau kuyauza kwa nakala chache kwa siku. Vinginevyo mengi yatafungwa kwa kuwa hayajiendeshi kabisa.
 
Bila shaka kwenye vichwa vya magazeti tajwa hapo juu kesho ni mwendo wa propaganda tu juu ya Dr Slaa na CHADEMA.

Tujiandae kisaikojia kusikia vichwa vya habari vikisema "Slaa kutumuliwa chadema kwa maandamano", "BAVICHA kwa chafuka, wataka Slaa ang'olewe", "CHADEMA hali si shwari, vijana wataka Slaa ang'olewe"

Kwa kuwa magazeti hayo tajwa yamekaa kipropaganda kwa lengo la kuendelea kutumika kwa mpango maalumu nimeona niwaze ya leo maana ikimpendeza Mungu tutayaona ya kesho na hata kesho kutwa.

Yatacheza ngoma ya kitoto ambayo ambayo mara zote huwa haikeshi.
na utajipendekeza sana tu.
 
Tatizo wanamchi wengi huamini vyombo vya HABARI bila kudadisi wanasahau magaze yana lugha maalumu ya kumshawish msomaji eti gazeti limeandikwa "YALIYO JIRI WIKI HI " alafu ukichumguza limechapwa j3 sasa habar ya j5 waliyatabiri. WATANZANIA KUMBUKENI " Akili ya kuambiwa ongèza YAKWAKO "
 
Mtoi
Hebu tuhabarishe vichwa vya habari vilisemaje; tunataka kujua mjinga ni nani ni mzushi anayekaa akatujingia habari anayotaka yeye au ni waandishi wa magazeti wanaondika habari kutokana na kile kilichotokea?

Chama
Gongo la mboto Dsm
cc: Ritz

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom