Discuss

Mghoshingwa

JF-Expert Member
Jul 9, 2011
305
73
Usituchanganye! Kwanza lazima ujue objective ya post yako ni nini! Pili lazima ujue kuna tofaut kati ya maisha na uhai! Na lazima ujue kwamba Std's si lazima m2 apate. Kwanza maisha gan unazungumzia
 

Likwanda

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
3,912
1,125
Haya Bwana, Wengine ni Maimuna Lakini Vp Mapadri Wao Hawapo Ktk Maisha?
 

Roulette

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
5,581
5,337
kwanza life is not a disease.
pili STD inaambukizwa kwa wahusika wawili, haitengenezi mtu wa tatu. hivi when you have unprotected sewx with your partner, what are the chances that you will transmit him life?
Tatu, hata ungesema mimba is an STD because it occurs through unprotected sex sio kweli because muhusika wa kiume hakuwa na mimba. STD maana yake muhusika num 1 ana STD, alafu through unprotected sex anamuambukiza muhusika num 2. sasa muhusuka gani anakua na mimba kablea ya sex? na kama mimi ni mzito (but I am not, it is just an example) if I have unprotected sex with my husband, what are the chances ya yeye kupata mimba pia?
so the answer is : false, life is NOT and STD
 

Mamndenyi

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
37,177
41,070
mimi nimeelewa neno s e x tu ila naomba unidadafulie kwa kuwa mimi ni maimuna.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom