vipi mkubwa mbona unaweweseka kama uko ndotoni????Sikutaki tena diana,huna shukrani, nilijitahidi kukupa kila kitu ili uridhike,wewe ukahadaika na dunia,ni mwanaume wa aina gani usiyemjua diana??,nimevumilia uchafu wako nimechoka,kama hii ndio zawadi ya upendo wangu wa dhati kwako nashukuru.ila kumbuka hii ni dunia diana na imeshaanza kukufunza,ulitaka maisha ya juu,ulithubutu kulala hadi na vikongwe upate pesa,ona ulivyonyauka kwa ukahaba,nasema tena sikutaki diana,we rudi kijijini ukaanze maisha mapya,mimi sikutaki#dirty diana
aiseee!!diana!!
Unamjua???
nimjulie wapi shost!!nimemsaidia
mleta mada kuita kama diana atakua jeiefuu!!
naskia diana kaisha na kupauka,niha ha ha atakuwa ni mwanajf si unaona kaja kushtakiwa hapa?????
naskia diana kaisha na kupauka,ni
kukosa matunzo au kashaukwaa -----!!
​maskini si angemtafuta warumi part 2!!Kapauka kwa kukosa matunzo ya pedeshee warumi!!!
​maskini si angemtafuta warumi part 2!!
Atakuwa kampata mkorinto...
na mkorinto hajui kutunza!
diana kapoteza bahati loooolz!!