Dirty Confession: Mpaka sasa umeshatembea na wanawake/wanaume wangapi? Mimi mpaka sasa ni wanawake 20+

Hey jamani mbona hao ni wadogo sana??
 
Namba 8 tumekula wote, ila katamu hako,

nachokapendea kuachia vuziii km msitu kipare cheupe peee! Hedaruu sijui ntarudi tena! af kidomo kile kwa denda mmmm! nadhani kalifanya limbwata mbona tulikapenda hivi?
 
Atleast weewe uneenda na mahesabu sahihi... Nashangaa saana hapo juu mwana...

Eti 20+ kwa umri wake... Hapo sijui mahesab yanakaa vipi aiseee.

Mi now inasogea kwenye 500+ kama sikosei.
 
Huyo latifa ni wa wapi?

Kuna latifa namjua anao, na aliwahi ni tongoza aisee yule mdada!
 
WAKATI MWINGINE MUNGU INABIDI ATUSAMEHE


Binafsi nina List hii

1.Sada
2.Hafswa
3.Bernadeta
4.Fatuma
5.Hawa
6.Zabibu
8.Mwajuma
9.Machangu wawili

Jumla 10

Hii ni kuanzia januari 2018 tu.


By the way, kufanya dhambi na kuzianika kwa umma hali ya kua wakati unazifanya mwenyezi Mungu aliku stiri ni kuongeza dhambi juu ya dhambi.
Nashukuru kwasasa nimetulia na mwanamke mmoja baada ya kucheza salama na list hiyo yangu.
 
wachache sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…