Dirt Mind

Dirt Mind

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
18,828
Reaction score
12,321
Ivi unathani ni kwanini akili yako imeji-tune huko baada ya kuona hii picha?
Je unadhani uko normal?
Kwanini hukufikiria kitu kingine?

Tafsiri.JPG
 
Mi nadhani tuanze na wewe mwenyewe

Kwa nini umeamua kubashiri tutakayoyawaza tukiiona hii picha?

Umewaza nini hadi kuipost? Umeipata wapi? Umefikaje huko ulikoipata?

Jikague

Hivi unadhani uko normal wewe?
 
Dushelele huwa haiongopi mkuu....its real
 
Back
Top Bottom