dirisha la maombi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TCU: Dirisha la maombi ya udahili kwa Shahada ya Kwanza (2026/2027) lipo wazi leo Julai 10, litaendelea hadi Agosti 10, 2026

    TAARIFA KWA UMMA KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA UDAHILI KWA WAOMBAJI WA SHAHADA YA KWANZΑ ΚΑΤΙΚΑ ΤAASISI ZA ELIMU YA JUU NCHINI TANZANIA KWA MWAKA WA MASOMO 2026/2027 1.0 UTANGULIZI Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inapenda kufahamisha umma, Taasisi za Elimu ya Juu na Wadau wote wa Elimu ya juu...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa kuomba mikopo bodi ya mikopo una changamoto

    Bodi ya mkopo ilitangaza kufungua rasmi dirisha la maombi leo tarehe 15/6/2025 ila tokea asubuhi mfumo wao haujakaa sawa kupokea maombi hayo. Changamoto ni mtandao au mfumo?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Dirisha la maombi ya vyuo awamu ya tatu limefunguliwa?

    Habari za asubuhi Wakuu? Naomba kuwauliza kama vyuo vikuu vimeshafungua dirisha kwa ajili ya maombi ya vyuo awamu ya tatu, na kama limeshafunguliwa vipi deadline ya kuomba ni lini?
Back
Top Bottom