maramia
JF-Expert Member
- Jul 17, 2015
- 2,029
- 1,347
Hongera sana dogo piga kazi!mi niko kampuni binafsi
Hongera sana dogo piga kazi!mi niko kampuni binafsi
Asante sana kaka, ngoja tukomaeHongera sana dogo piga kazi!
Pooh ushatangaza fursaBado sijaoa, ila ipo siku
Emirates?? Umeniacha mbali nijuze zinakuwaje ili nione ninakutafutaje MKUU .180,000/
Njoo inbox nakufanyia na Emirates , sio aluminium za kijinga!
Ondoa shaka ila mpaka hapo unapoiona imekufa million 60Dah nyumba ipo poa Sana, mkuu sambaza upendo unipatie hiyo ramani [emoji120]
Dah si mchezo na usawa huu wa Magu!? Anyway nijaalie tu hiyo ramani nijifikirieOndoa shaka ila mpaka hapo unapoiona imekufa million 60
Usijali kiongozi, tatizo niliweka mbwembwe ,ina vyumba 4 na vyote master na nyumba vingine kama study room, dining,,store, play room, kitchen na public toilets kwa hiyo imechukua tofari nyingi sana.Dah si mchezo na usawa huu wa Magu!? Anyway nijaalie tu hiyo ramani nijifikirie
Inavikona vingi sana hapo ndaniNyumba ina kona nyingi sana na itakuwa imekugharimu pesa nyingi bila sababu,
Mkuu nami naomba hiyo ramani, huwezi jua la kesho, plzInavikona vingi sana hapo ndani
Vipi jengo limekava square mita ngapi?Usijali kiongozi, tatizo niliweka mbwembwe ,ina vyumba 4 na vyote master na nyumba vingine kama study room, dining,,store, play room, kitchen na public toilets kwa hiyo imechukua tofari nyingi sana.
Ijapo ni tambalale eneo la kiwanja ila msingi toka chini ni stap 7 na mkanda wa 8..
Sio mtaalam wa vipimo ila kwa hatua ni 20x26Vipi jengo limekava square mita ngapi?
Kwa hiyo hapo ukubwa wa kiwanja angalau uwe 30x35 au zaidiSio mtaalam wa vipimo ila kwa hatua ni 20x26
Nikweli changu kuna 40x35Kwa hiyo hapo ukubwa wa kiwanja angalau uwe 30x35 au zaidi
Hivi kwanini huwa hamtaji bei fixed? Mpaka uanzie juu why? MTU akitaka kwenda kwingine ndo unaanza kusema njoo tuongee.Mie kwenye kazi za uhakika huwa napenda bei fixed.Hizi za kupunguziana huwa naona kama naibiwaTunaongea mkuu usiogope