Directory ya Afya toka TanzMED | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Directory ya Afya toka TanzMED

Discussion in 'JF Doctor' started by Kilongwe, Aug 24, 2011.

 1. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Tuma,tafuta,thaminisha,jadili na pendekeza huduma za Afya
  Ni mara ngapi umekuwa ukitafuta huduma za afya zilizo karibu nawe bila mafanikio? Timu nzima ya TanzMED inakuletea TanzMED Directory .Ukurasa pekee ndani ya TanzMED.com unaotoa nafasi kwa watoa huduma/bidhaa kujitangaza pia kwa wanajamii kutafuta huduma/bidhaa zenye uhusiano na afya kwa urahisi zaidi bila gharama yoyote.

  Sio hayo tu, TanzMED Directory inawawezesha wanajamii kuithaminisha na kutuma maoni kwa kila huduma hivyo kutoa mwanga zaidi kwa watumiaji wapya.

  [​IMG]
  Kama wewe ni mtoa huduma/bidha au unafahamu huduma yoyote ambayo unaona inaweza kuwa na manufaa kwa wanajamii,basi itume moja kwa moja kwa kwenda HAPA . Kwa wanaotafuta huduma/bidhaa za afya nenda http://www.tanzmed.com halafu bofya Directory.  [​IMG]

  Changia TanzMED kwa kusambaza ujumbe huu
   
 2. cerengeti

  cerengeti JF-Expert Member

  #2
  Jun 4, 2016
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 3,633
  Likes Received: 1,165
  Trophy Points: 280
  Good job.
   
Loading...