Ismailsimba
Member
- May 10, 2012
- 88
- 12
who cares kama ni legal au illegal? as long as unapata movies au pirated software who really cares? wazungu ndo wanaziweka maana yake hata wao kununua ni ishu sasa sisi hata kutumia credic card wengi hatujui halafu ulete ishu za legal au illegal
na hizo TV & Movie links unazoshare I suppose are paid for legal downloads? haha, usinifurahishe mkuu, na kusema kwamba magnetic links are slower than direct downloads ni uongo mtupu.
fastest speed on any airtel line ni 350kb/s, piga hiyo speed kwa direct downloads ndo useme maneno kama hayo. streaming is the only thing thats faster than magnetic links and thats only when you can't max out on your download speeds
lately, they have been tracking illegal users and arresting them.
Ismailsimba ndo maana tunatumia teknolojia ya kudownload anoynimously maana most of stuff kwenye net ni illegal
Kaka hiyo speed ya 350kbps toka lini mimi Airtel kila siku naangusha GBs kwa hadi 900kbps??
you can't be arrested for downloading stuff off the internet. bado hatujapata sheria kama hizo. but they can scare you. na ndo maana juzi kati MPAA (Motion Picture Association of America) walikuwa wanapigania kuwe na law ya kuzuia downloads kwa internet SOPA (Stop Online Piracy Act) na hata hiyo haijawa bill, na sidhani kuna nchi duniani ina law za kufunga watu kwa downloading stuff off the internet
lakini baada ya kusema hayo yote, kumbuka kuwa hizi downloads zinachukuliwa vibayani wenye hizi kampuni za kutengeneza movies (Bollywood, Hollywood, Global Publishers etc.) na wote tunajua hii dunia ni yenye hela zao ergo u download ukijua unaweza fungwa hata kama sheria haihusiani
kb/s na kbps ni vitu viwili tofauti mno mkuu. hapa bongo hamna mobile network provider anayetoa speed kama 900kb/s hata kama inawezekana. then again naweza kuwa wrong, piga snapshot uweke hadharani
kwa Tz hakuna sheria itakayokufunga, ila naona ni bora ukajizoesha kuepukana na illegal downloads, kwa kudownload from legal sites.
mimi natumia tigo, speed ni 3.6mbps, na download had GB 1 ndani ya li saa.
mimi natumia tigo, speed ni 3.6mbps, na download had GB 1 ndani ya li saa.
kb/s na kbps ni vitu viwili tofauti mno mkuu. hapa bongo hamna mobile network provider anayetoa speed kama 900kb/s hata kama inawezekana. then again naweza kuwa wrong, piga snapshot uweke hadharani