Dira ya Mwalimu Nyerere

Dira ya Mwalimu Nyerere





​

10983365_964461896919975_391718280983040354_n.jpg

Asante sana kwa hii dira
Leo tarehe 14 October ni siku ya Nyerere Day, tumuenzi kwa kujikumbushe tuliwahi kusema nini, kumhusu Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Happy Nyerere Day.
Paskali
 
..nampenda sana Mwalimu Nyerere.

..lakini hii documentary imenichefua kwa kurekodi sauti ya uongo ya Mwalimu Nyerere.

..kuna sehemu wamechukua muigizaji akaongea kama Mwalimu Nyerere, which I believe is UNETHICAL/ haitakiwi ifanyike kama unatengeneza documentary.

..miaka 20 ijayo wajukuu zetu wataangalia documentary hiyo na kuna uwezekano sisi babu zao hatutakuwepo kuwaeleza kwamba kuna sehemu ktk documentary hiyo sauti inayosikika siyo ya Mwalimu Nyerere.

cc Jasusi, Nyani Ngabu, Kiranga, EMT, NasDaz, Pasco, Manyerere Jackton, Kapwela, Mkandara, BAK
Naunga mkono hoja
Happy Nyerere Day
P
 

Ili kumuenzi Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kwa dhati, naomba kutumia fursa hii, kuwahimiza wale wote wanaomkubali Nyerere, tarehe 29 October, Watanzania tusifanye makosa, tujitokeze kwa wingi kwa jambo letu, tena ni asubuhi tuu na mapema, kuwahi katika kituo cha kupigia kura, kumchagua Mama wa Taifa, na ukifika tuu kituoni kazi ni moja tuu, kutiki, kwa mtindo ule ule wa
unachukua...,
unaweka...
malizia...
Happy Nyerere Day.
Paskali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom