Dira 2050 na demokrasia, haki na uhuru

Dira 2050 na demokrasia, haki na uhuru

Mwakongo

Member
Joined
Jul 8, 2025
Posts
60
Reaction score
15
Hii ni moja ya Misingi Mitano inayoongoza kwenye Dira 2025. Kila mtu afurahie uhuru, ulinzi wa Maisha yake na haki zote za msingi zilizowekwa kikatiba, zinazosimamiwa na mahakama zilizo huru, zinazozingatia makundi yote ya Jamii wakiwemo wanawake, vijana, watu wenye ulemavu na wazee.
DIRA-MISINGI-MITANO---A.png
 
Hizo ni porojo tu za kisiasa, tunajua ni kitu ambacho hata wapewe miaka elfu hawataweza ku achieve
 
Hii ni moja ya Misingi Mitano inayoongoza kwenye Dira 2025. Kila mtu afurahie uhuru, ulinzi wa Maisha yake na haki zote za msingi zilizowekwa kikatiba, zinazosimamiwa na mahakama zilizo huru, zinazozingatia makundi yote ya Jamii wakiwemo wanawake, vijana, watu wenye ulemavu na wazee. View attachment 3409112
Hiyo October mnatiki imefuata nn hapo au na yenyewe ni sehemu ya dira
 
Back
Top Bottom