Diplomatic Tensions Erupt Between Kenya and Sudan

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
AFP

RELATED CONTENT

Chief prosecutor Luis Moreno-Ocampo accuses Bashir of having personally instructed his forces to annihilate the Fur, Masalit and Zaghawa ethnic groups in Darfur.

About 300,000 people have died since conflict broke out in the region in 2003, when ethnic minority rebels took up arms against the Arab-dominated regime for a greater share of resources and power, according to UN figures.

Sudan's government says 10,000 have been killed.

Bashir had planned a second trip to Kenya, this time to attend a regional development summit that had been scheduled to be held in Nairobi in October last year.

The ICC, then reminded Kenya of its obligation to arrest the Sudanese leader, and requested the government to inform it "about any problem which would impede or prevent the arrest and surrender of Omar al-Bashir in the event that he visits the country."

This resulted in the summit being moved to the capital of Ethiopia, which is not a Rome Statute signatory.

The African Union has on several occasions called on its members states not to arrest the Sudanese president, accusing the ICC of targeting only Africans and arguing that Bashir's arrest would hurt the peace process between Sudan and South Sudan.

Bashir took part in a regional summit in Malawi in mid-October after attending an investiture ceremony for Djbibouti President Ismaël Omar Guelleh in May.

Kenya nao wanawasikiliza mashoga wao khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
[h=1]Kenya-Sudan diplomatic relations sour as envoy expelled[/h] By Cyrus Ombati and Agencies

Updated 4 hr(s) 29 min(s) ago

Sudan ordered Kenya's ambassador to leave the country after a judge issued an arrest warrant for President Omar al-Bashir, wanted by the International Criminal Court for alleged war crimes in Darfur.

Sudanese acting ambassador to Kenya, Beder el din Abdalla Mohammed was recalled as Kenyan Ambassador Robert Mutua Ngesu was given 72 hours to leave Khartoum.

"The Sudanese government has ordered the Kenyan ambassador to leave the country within 72 hours," foreign ministry spokesman Al-Obeid Meruh told AFP.

Source: The Standard | Kenya-Sudan diplomatic relations sour as envoy expelled diplomatic relations sour as envoy expelled
 
ICC wamekubali kumuacha mtoto wa Ghadafi mikononi mwa waasi halafu wanajifanya hawaoni umuhimu wa kumuacha Bashir awatumikie watu waliomchagua!
 
inasemeka kuvunjika kwa uhusiano kati ya kenya na sudan ya khartoum kumechangiwa na taarifa za kwamba, sudan inawasaidia al shabab. ndiyo maana kenya wakakereka na kuamua kumwaga mboga kwa kutangaza kumkamats rais wa sudan iwapo atakanyaga kenya....
kweli al shabab noma!!!!
 
Mahakama ya kenya imetoa warrant ya kumkamata rais el bashir wa sudan!sudan nayo imemfukuza balozi wa kenya nchini sudan.haya ndiyo madhara ya kuwakaribisha usa na esrael ktk nchi zetu
 
Mahakama ya kenya imetoa warrant ya kumkamata rais el bashir wa sudan!sudan nayo imemfukuza balozi wa kenya nchini sudan.haya ndiyo madhara ya kuwakaribisha usa na israel ktk nchi zetu
 
Mahakama ya kenya imetoa warrant ya kumkamata rais el bashir wa sudan!sudan nayo imemfukuza balozi wa kenya nchini sudan.haya ndiyo madhara ya kuwakaribisha usa na israel ktk nchi zetu

Habari nzuri hiyo. Naunga mkono Kamata huyo muuaji asiyependa kuona ngozi nyeusi ikipata nguvu.
 
Wameshahakikisha wamemuua Gadaffi, sasa wanamsakama El-Bashir. Ingawa sijafuatilia kwa undani naanza kuamini Wamarekani na mataifa mengine makubwa wana mkono Al-Shabaab, historia inatuonyesha ni jinsi gani mataifa haya makubwa yaliwahi kuwatumia hawa hawa akina Osama na Al Zawahir kupambana na wenzao wakati huo kisha wakaja kugeukana na kuanza kutafutana miaka ya karibuni. Nahisi.., nasema tena kwamba nahisi... Al-Shabaab hawajaja ila wameletwa, imepita muda wakiwa hapo Somalia bila ufuatiliaji wowote lakini wakaonekana hawana madhara makubwa. Wakaambiwa wawachokoze Kenya, kisha Kenya wakaambiwa msikubali kuchokonolewa wafuateni kabisa huko kwao kisha muwamalize mkishindwa tutawasaidia msijali. Kenya wakadumbukia Somalia, sasa imeshakuwa taabu maana wamevua nguo kuruka bwawani wamegundua maji ni mengi kuliko walivyokuwa wanafikiri. Hawajakaa vizuri wakaambiwa El Bashir alishawahi kuja hamkumkamata, sasa ili akija muwe na uwezo wa kumkamata toeni warranty kutoka hapo hapo Mahakama Kuu ya Kenya???? Pumbaf, non-sense... Je itakuwaje Kesho Mahakama Kuu ya Tanzania ikitoa warranty ya kumkamata Kibaki??? itakuwaje Uganda wakitoa warranty ya Kumkamata Kikwete??? Waafrika tunagombanishwa na hawa wazungu tukiwa tunaangalia kwa macho yetu wenyewe. Kwanini tunaendekeza sera na kuwasikiliza hawa wazungu kwa kiasi kikubwa hadi tunajiharibia wenyewe? angalia sasa El Bashir na Kenya hawataongea tena, mabalozi wesharudishwa makwao na urafiki kwisha.

Kwa mwendo huu, nakuambieni hatuna muda mrefu tutaanza kudundana wenyewe kwa wenyewe. Kama hizo ni zile njama zao za kuvuruga dunia kisha waweke system wanayoijua wao basi inakuja kwa kasi sana maeneo yetu sasa hivi. Nina hakika hatuna tena Rais wa nchi yeyote Afrika anayeweza kusema lolote kuhusu haya mambo yanayoendelea, wazungu wanazidi kuja kutuvuruga kwa kasi kila wanapoona kuna nafasi ya kufanya hivyo kwa udhaifu wetu. Wao wanatumia muda mwingi kujiimarisha na kuhakiki sisi hatuendi popote, watachukua rasilimali zote mkikataa na msipokuwa makini wanawagombanisha na wakati ninyi mnauana wao wanaongeza mafuta kwenye moto kwa kuwauzia silaha huku wakibadilishana na rasilimali za nchi husika. Wanachukua kila kitu na kujidai wanawapatanisha na kuwajengea nchi.

Sitaki kutabiri kitachotokea wala sitopenda kitokee, ila kama Mungu anaona linalotokea na analiacha litokee basi lina sababu ya kutokea ingawa litatuumiza sana muda si mrefu unaokuja. Wenye kujua kama hili liliandikwa litokee watujuze na wenye data zaidi naomba michango yenu tujue kama ni kusubiri tumezwe ama tujue kama kuna la kufanya kuepuka haya, mimi niko tayari kufia hapa kama Gadaffi.
 
kenya nao wanawasikiliza mashoga wao khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Bila hao mashoga, kenya wataishije. Wenzetu hawana kitu wanachotarajia ni ujanja ujanja tu wa kuzungusha maneno na hao mashoga.

Kuingia somali wameahidiwa misaada na fedha ya mkopo ikiwa na jumla ya $1 bilion kila baada ya miaka miwili kama walivyokuwa wakipiwa misri kwa kukubali kuingia deal na waisrael. Misri hupat $1bil kila mwaka.
 
Ai aiaiaiai Mama yangu. Kenya wamejichongea, wamejinyea. Watakiona kilichomtoa kanga manyoya. Ugaidi ndio utazidi.
 
Nasikia na Sudan nao wametangaza Kumkamata Kibaki iwapo atakanyaga Sudan.
 
Walimualika kwenye sherehe za katiba mpya.
Walidharau ICC.
Sasa....... hawa watu nao !!!, huwa hawana msimamo.
 
Mkosaji akamatwe tu bila kujali ni mweusi au mweupe. Namwunga mkono Jaji aliyetoa Amri hiyo, huo ndiyo uhuru wa Mahakama. Wazee wa politiki waendelee na mambo yao ya kufukuza mabalozi.
 
Kwa mantiki hii itabidi useme pia kuwa USA na Israel walimfanya El-Bashir awaue watu Darfur ili baadae wapate sababu ya kumkamata

Wameshahakikisha wamemuua Gadaffi, sasa wanamsakama El-Bashir. Ingawa sijafuatilia kwa undani naanza kuamini Wamarekani na mataifa mengine makubwa wana mkono Al-Shabaab, historia inatuonyesha ni jinsi gani mataifa haya makubwa yaliwahi kuwatumia hawa hawa akina Osama na Al Zawahir kupambana na wenzao wakati huo kisha wakaja kugeukana na kuanza kutafutana miaka ya karibuni. Nahisi.., nasema tena kwamba nahisi... Al-Shabaab hawajaja ila wameletwa, imepita muda wakiwa hapo Somalia bila ufuatiliaji wowote lakini wakaonekana hawana madhara makubwa. Wakaambiwa wawachokoze Kenya, kisha Kenya wakaambiwa msikubali kuchokonolewa wafuateni kabisa huko kwao kisha muwamalize mkishindwa tutawasaidia msijali. Kenya wakadumbukia Somalia, sasa imeshakuwa taabu maana wamevua nguo kuruka bwawani wamegundua maji ni mengi kuliko walivyokuwa wanafikiri. Hawajakaa vizuri wakaambiwa El Bashir alishawahi kuja hamkumkamata, sasa ili akija muwe na uwezo wa kumkamata toeni warranty kutoka hapo hapo Mahakama Kuu ya Kenya???? Pumbaf, non-sense... Je itakuwaje Kesho Mahakama Kuu ya Tanzania ikitoa warranty ya kumkamata Kibaki??? itakuwaje Uganda wakitoa warranty ya Kumkamata Kikwete??? Waafrika tunagombanishwa na hawa wazungu tukiwa tunaangalia kwa macho yetu wenyewe. Kwanini tunaendekeza sera na kuwasikiliza hawa wazungu kwa kiasi kikubwa hadi tunajiharibia wenyewe? angalia sasa El Bashir na Kenya hawataongea tena, mabalozi wesharudishwa makwao na urafiki kwisha.

Kwa mwendo huu, nakuambieni hatuna muda mrefu tutaanza kudundana wenyewe kwa wenyewe. Kama hizo ni zile njama zao za kuvuruga dunia kisha waweke system wanayoijua wao basi inakuja kwa kasi sana maeneo yetu sasa hivi. Nina hakika hatuna tena Rais wa nchi yeyote Afrika anayeweza kusema lolote kuhusu haya mambo yanayoendelea, wazungu wanazidi kuja kutuvuruga kwa kasi kila wanapoona kuna nafasi ya kufanya hivyo kwa udhaifu wetu. Wao wanatumia muda mwingi kujiimarisha na kuhakiki sisi hatuendi popote, watachukua rasilimali zote mkikataa na msipokuwa makini wanawagombanisha na wakati ninyi mnauana wao wanaongeza mafuta kwenye moto kwa kuwauzia silaha huku wakibadilishana na rasilimali za nchi husika. Wanachukua kila kitu na kujidai wanawapatanisha na kuwajengea nchi.

Sitaki kutabiri kitachotokea wala sitopenda kitokee, ila kama Mungu anaona linalotokea na analiacha litokee basi lina sababu ya kutokea ingawa litatuumiza sana muda si mrefu unaokuja. Wenye kujua kama hili liliandikwa litokee watujuze na wenye data zaidi naomba michango yenu tujue kama ni kusubiri tumezwe ama tujue kama kuna la kufanya kuepuka haya, mimi niko tayari kufia hapa kama Gadaffi.
 
Ukija space station kuna ushirikiano mkubwa.Hiki chombo kina sehemu ya Wamarekani na sehemu ya warusi.Wanaanga kutoka mataifa mbali mbali ya ulaya huwa na wawakilishi miiongoni mwa wanasayansi wao.Ukiondoa yule wa Afrika kusini aliyekuja kwa kutembea,Afrika kwa ujumla haina mwanaanga anayepangiwa kuja hapa.Ukiteremka duniani mataifa kama Ufaransa na Ujerumani kwa upande wa ulaya na wote wa Ulaya na wenzao wa upande wa Marekani wanaweza kuwa na tofauti ya mawazo lakini haifikii kukatishiana uhusiano na kutishiana kupigana.Ushamba na ushoga huu uko Afrika tu.Sijui watu wake akili zao zikoje?.
 
By PETER LEFTIE pmutibo@ke.nationmedia.com
Posted Wednesday, November 30 2011 at 22:00

Kenya moves to ease tensions with Sudan
Kenya launched a major diplomatic offensive to repair relations with Sudan on Wednesday after President Omar al-Bashir expelled her ambassador to Khartoum.

President Kibaki is said to have dispatched a personal envoy to Khartoum to discuss the diplomatic rift triggered by Monday's High Court ruling ordering the police to arrest the Sudanese leader and hand him over to the International Criminal Court (ICC) if he sets foot in the country.

The government, at the same time, requested Sudan's envoy to Kenya Kamal Ismael Saeed not to leave the country. He had been recalled to Khartoum following the diplomatic rift occasioned by Justice Nicholas Ombija's ruling.

Khartoum ordered Kenya's ambassador to Sudan, Mr Robert Mutua Ngesu, to leave the country within 72 hours as relations between the two countries rapidly deteriorated.

Mr Saeed told the Nation on Wednesday he had been asked not to leave the country until he holds consultations with Foreign Affairs Minister Moses Wetang'ula upon his return from Bujumbura, Burundi where he accompanied President Kibaki to a meeting of the East African Community.

Read more source: Kenya moves to ease tensions with Sudan *- Africa*|nation.co.ke

A typical Kenyan naivety in the matters of international law/agreements v/s international/regional/bilateral relations and diplomacy
 
bashir-kenya1.jpg

Kenya imemwalika Rais Omar al Bashir wa Sudan kuhudhria kikao cha Mamlaka ya Kiserikali ya Maendeleo ya Afirka Mashariki na Pembe ya Afrika -IGAD- kitakachofanyika Nairobi.

Akizungumza mjini Bujumbura, Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya Moses Wetangula amesema kikao hicho kitakachoongozwa na Rais Mwai Kibaki kitajadili masuala ya amani huko Sudan na Sudan Kusini.

Mwaliko huo unakuja kufuatia utata uliobuliwa Jumatatu na mahakama moja nchini Kenya iliyotoa hukumu ya kutiwa mbaroni Rais Hassan al Bashir wa Sudan na kukabidhiwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC endapo atafika Kenya.

Baada ya hukumu hiyo hiyo, Wizara ya Mambo ya Nje ya Sudan ilimfukuza balozi wa Kenya mjini Khartoum na kumuita balozi wake aliye Nairobi.

Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya Moses Wetangula amepinga hukumu hiyo ya mahakama na kusema wizara yake itakata rufaa.

CHANZO: Idhaa ya Kiswahili ya Radio Iran
 
Back
Top Bottom