UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 8,527
- 7,730
​Ametishia kuwafanya nini kweli?
Baadhi ya yafuatayo:​Ametishia kuwafanya nini kweli?
hizo ni hisia zenu. Serikali ya kenya imeamua kutafuta suluhu na sudan kaskz ili kutokuvuragana waafrika wenyewe siyo kwamba nchi moja inaogopa nyingine jinsi ambavyo naona muelekeo wa majadiliano unavyoenda humu ndani. Mahakama ni chombo huru ndiyo, lakini siyo kwa 100% ambavyo mnawezafikiri. Hatuwezi tumia uhuru wa mahakama kuleta machafuko katika inji zetu jamani. Kwamba akae mtu mmoja aamue halafu millions of people waumie that is no!baadhi ya yafuatayo:
1.kukataza ndege ziendazo kenya kupitia anga la sudan (ndege nyingi zitokazo ulaya hupitia huko)
2.kuwafukuza wakenya takribani elfu moja waishio sudan
3.kutokununua kahawa na chai toka kenya (mwaka jana sudan ilinunua kwa jumla ya dola 200 milioni za kimarekani)
4.kuwafukuza wanafunzi mia tano wa kikenya wasomao sudan
5.kukata mahusiano ya kidiplomasia baina ya nchi hizo mbili
na pia inawezekana al-bashir akaamua kuwasaidia al-shabaab (hii haijasemwa hadharani)!
hizo ni hisia zenu. Serikali ya kenya imeamua kutafuta suluhu na sudan kaskz ili kutokuvuragana waafrika wenyewe siyo kwamba nchi moja inaogopa nyingine jinsi ambavyo naona muelekeo wa majadiliano unavyoenda humu ndani. Mahakama ni chombo huru ndiyo, lakini siyo kwa 100% ambavyo mnawezafikiri. Hatuwezi tumia uhuru wa mahakama kuleta machafuko katika inji zetu jamani. Kwamba akae mtu mmoja aamue halafu millions of people waumie that is no!
Kwaherini wa tz wenzangu.
Wakenya waramba kiatu cha Al Bashir
Mahakama Kenya ni huru hasa baada ya Katiba mpya na hili ndilo Bashir na Watanzania hawajalifahamu. Mfumo wa kutenganisha mihimili ya dola unazingatiwa sana Kenya. Bashir atazidi kutengwa zaidi kimataifa iwapo atakata uhusiano na Kenya.
Wakenya waramba kiatu cha Al Bashir
View attachment 42696Rais dikteta Omar al-Bashir (kati) tarehe 27 Augusti mwaka jana alipohudhuria uzinduzi wa katiba mpya ya Kenya kwenye Uhuru Park, Nairobi. Picha: Kabrasha/Nation Media
By Askari Kanzu 04.12.2011
Street Journalism
*Mkiendelea kutishia kunikamata mtakiona cha moto, Bashir awaambia wakenya
*Serikali ya Kenya yatuma ujumbe mzito Khartoum kumbembeleza
*Bashir awapa wakenya wiki mbili
*Serikali ya Kenya yajiweka sawa kukiuka katiba
Licha ya kutamba na katiba mpya (bora kuliko katiba yeyote duniani) wakenya wamejikuta wakiramba kiatu cha fildi masha Omar al-Bashir wa Sudan kwa kukubali matakwa ya dikteta huyo. Al Bashir ameipa serikali ya Kenya wiki mbili kutengua uamuzi wa mahakama unaoitaka serikali imkamate Bashir pindi atakapotia mguu nchini Kenya. La sivyo wakenya watakiona cha mtema kuni kilichomnyoa kanga manyoya ya shingoni, Bashir ametishia. Bashir anatafutwa na ICC ya Ocampo kujibu mashataka dhidi ya mauaji ya kimbari yaliyofanyika jimboni Darfur.
Kitendo cha serikali ya Kenya kuingilia uamuzi wa mahakama kinakiuka misingi ya ugawanyiko wa mihimili mitatu ya dola ambayo ndio uti wa mgongo wa mfumo wa demokrasia; yaani serikali, bunge na mahakama.
Kumekuwa na majigambo yaliyovuka mpaka hapa jamvini toka kwa wanajamvi wa kikenya kwamba Kenya ni nchi ya asali na maziwa na pia yenye demokrasia tukuka barani Afrika. Cha ajabu ni kwamba hivi sasa serikali ya Kenya imeshamualika Bashir nchini (kinyume cha maamuzi ya mahakama) na hivi juzi ilituma mawaziri wake wawili kumbembeleza dikteta al-Bashir asitimize tishio lake.
Hawa majirani wanazidi kuchemsha!
Kwa habari kina bofya hapa (kiingereza)
Njemba fulani, tuko pamojah. Lakini wakati mwingine watoto wakorofi inabidi kupigwa makwenzi kwanza kabla hawajajifunza adabu na ndo maana nimeichonga hiyo post kihivyo.Askari Kanzu,posti yako imejaa tone ambayo inaonekana ipo kudiscredit kenya and kenyans, my point is not to be carried away with narrow minded people like MOYO who r obsessed with finding out whatever bad about Tanzania and Tanzanians. Doing that will put u in the same rank as him, We have to realize that even if we dnt like it, we as east Africans need each other than we ever imagine. I suggest we have mutual respect to one another.
Askari Kanzu,posti yako imejaa tone ambayo inaonekana ipo kudiscredit kenya and kenyans, my point is not to be carried away with narrow minded people like MOYO who r obsessed with finding out whatever bad about Tanzania and Tanzanians. Doing that will put u in the same rank as him, We have to realize that even if we dnt like it, we as east Africans need each other than we ever imagine. I suggest we have mutual respect to one another.
So?..... don't bring that sh*t to us!!!What we are doing is to solve an impending economic problem.It is rumored that Bashir is mad because of his country's application to join EAC was thrown out and he thinks kenya did not do enough to argue her case and the court ruling made things worse..which led him to think our support was not genuine....
What about the constitution being sidestepped when the country declared war against al-Shabaab? Don't compare Kenya to EU, please!
"Kenya is a constitutional democracy with a new constitution to boot. In a democracy, there are three branches of government which are equal and independent. The legislative body legislates, the executive branch executes the laws and the Judiciary interprets the law. The executive branch cannot tell the judiciary on how to interpret the law. Once the law has been interpreted by a lower court, the executive branch only has the option of appealing the decision to a higher court but once the highest court rules, that is the final decision and the executive branch has no option but to follow the law."
This issue actually demonstrates yet again how Kenya is on the right path with regard to democracy...never again will the executive dictate to other branches of government or to Kenyans at large. Instead of indulging in your usual schadenfreude (although yours is a unique one because it celebrates others successes thinking they are failures) you guys should be taking notes.
This is how a democracy works!
This is what I meant;