Diploma in Medical Lab kwa anayefahamu

Diploma in Medical Lab kwa anayefahamu

Kama ME kasome medical lab kama KE kasome nursing.swala la kulala night halikwepeki labda ufanye kazi dispensary.
Hospital na health centre kulala night ipo.

kuna umuhimu sana vijana kupitia JKT hili suala la usingz lisingekuepo.
 
medical laboratory, kwanza bado haina watu wengi, pili ni rahisi kuenda kusoma bachelor, tatu ni rahisi kujiajiri, nne haibani sana kama nurse na utabibu. hivo nakushauri kasome hiyo course hutojuta
 
Back
Top Bottom