Diploma holders

Diploma holders

Joined
Jul 17, 2016
Posts
46
Reaction score
62
Habari za sa hivi wana jamvi, najua au nafahamu wapo watu wwngi ambao wameshaongea sana kuhusu diploma holders hakuna mapya mimi leo hii nataka niongezee tu, kama mnavofahamu sio watu wote tulipenda kusoma diploma sema upepo ulivyobadilika ndo tukaangalia altenative, ni ukweli usio pingika watanzania walio wengi wanaizarau sana elimu ya diploma sijui sababu ni nini hususani hizi diploma za kawaida ukiachilia hizi za udaktari au mambo yahusiyo afya, kwa upande mimi nilishajiandaa kwa majibu yoyote watu tunasoma kwa bidii lakini mpaka sa hivi nyumbani wananiona muongo yaani mpaka inafikia kipindi ninamkwepa baba kwasababu ya maswali kuhusu hili jambo, mpaka sasa hivi hakuna tamko lolote, wala hata tangazo lolote, je wakulaumiwa ni nani
 
Pole mkuu ,hebu tucheki kesho pengine wataachia
 
Tulia mkuu usiwaze kuhusu kuwa diploma wala nini cha msingi tusubiri hzo selection, pia sio kila anaeenda diploma alifeli wengine wanatoka olevel wanaunga diploma, hata ukijaribu kuangalia kwa sasa wanafunzi wengi wanaotoka olevel pamoja na ufaulu wao wengine wanaenda kusoma dip sanasana za afya,uhandisi na mambo mengine
 
ukicheza na namba wanazo cheza nazo Nacte na Tcu utakumbuka tar31 mpaka 11.Sasa tar 23 ilipo fungwa system inacheza nà tar 5 october.Tusubili siku hii.
 
Ukisjasikia kozi au fani yoyote ina kitu inaitwa minimum entry qualificatios means lazima uwe na pass mark kwakiasi fulani.
Diploma ni shule kamazilivyo shule nyingine cha msingi hakikisha ule ujuzi unaotakiwa kuupata kwenye hiyo ngazi umeupata sawa sawa over. Nadhani diploma ni kati ya elimu nzuri sana kwa watendaji katika kampuni fulani hata shuleni walimu wa diploma wao ni "hands" hawaulizi wao ni kukatanyanga darasani tu
 
Nafikiri Diploma iwe mwanzo wa kusoma Degree,baada ya hapo hapo masters.Kuna watu wana PhD na walianzia Diploma.
 
Habari za sa hivi wana jamvi, najua au nafahamu wapo watu wwngi ambao wameshaongea sana kuhusu diploma holders hakuna mapya mimi leo hii nataka niongezee tu, kama mnavofahamu sio watu wote tulipenda kusoma diploma sema upepo ulivyobadilika ndo tukaangalia altenative, ni ukweli usio pingika watanzania walio wengi wanaizarau sana elimu ya diploma sijui sababu ni nini hususani hizi diploma za kawaida ukiachilia hizi za udaktari au mambo yahusiyo afya, kwa upande mimi nilishajiandaa kwa majibu yoyote watu tunasoma kwa bidii lakini mpaka sa hivi nyumbani wananiona muongo yaani mpaka inafikia kipindi ninamkwepa baba kwasababu ya maswali kuhusu hili jambo, mpaka sasa hivi hakuna tamko lolote, wala hata tangazo lolote, je wakulaumiwa ni nani
KWANINI ULICHAGUA CCM NEXT TIME JIFUNZE
 
Baba yako unamkwepa wa nini? kwani na yeye si anafuatilia hizi taarifa kila mahali. Mwambie kama vipi awaulize NACTE wewe huna haja ya kumkwepa maana hili suala liko nje ya uwezo wako
 
Bora wewe umesoma Diploma kiuharari je wale walionunua vyeti vya form four na form six wapo wanajisaidia ovyo ovyo sasa hivi kwaajili ya Prof.Ndalichako.
 
Baba yako unamkwepa wa nini? kwani na yeye si anafuatilia hizi taarifa kila mahali. Mwambie kama vipi awaulize NACTE wewe huna haja ya kumkwepa maana hili suala liko nje ya uwezo wako
Kaka wazazi wengine sisi hawajasoma sa kama mtu kila siku swali ni lile lile unafanyaje asee na majibu huna
 
Back
Top Bottom