Dinner with Madam President

Dinner with Madam President

Sijui siku hiyo itakuwaje

Mama kaweka wazi kuwa huwa anapitia huku JF na kuperuzi majukwaa mbalimbali, I am sure huwa kuna baadhi ya ID, post, replies huwa vinamchekesha sana

Yanayodhaniwa hayawezekani kuna siku yanaweza kuwezekana! Chakula cha usiku /get together wana JF na mama rais kwa mwaliko maalum! Siku hiyo hao watakaobahatika kualikwa I am sure watavunja makabati kwa kutafuta kiwalo kikali cha kuonekana kwenye video na rais

Sasa kichekesho kitakuja hapo ukumbini. Mama akiwa kakaa meza kuu anawaangalia waalikwa wake walivyo wapole na watakatifu. Kwakuwa kutakuwa hakuna kutambulishana ID za JF.. Basi mama atakuwa tu anafanya guess work kichwani mwake [emoji23]

Yule kwa kumtazama tuu ni rickboy Mzee wa kula tunda kimasihara
Yule kwa pozi lile ni Asprin mchaga kikongwe asiyependa kuzeeka(siku hiyo atakuwa kaenda saluni kuupiga uso deck na kuweka wave na super black[emoji23]

Mama akiendelea kuangaza kwa taratibu sana atamuona kwenye kona mtu mmoja katulia sana atajisemea huyu hakosi kuwa Bujibuji Simba Nyamaume

Kwa vyovyote Maxence Melo atakuwepo akiwa kapendeza sana! Huyu anawatambua baadhi ya members kwa sura.. Kuna kipindi atamuinamia mama na watateta jambo kisha watatabasamu, ujue hapo atakuwa kamuonyesha mama kuwa yule mzee mwenye suti pale ndio johnthebaptist na pale tayari keshaandika mada tatu za mistari 6

Kuna wanyange pia watakuwepo wamependeza mno kina Dr. Mariposa na wengine wengi

Hakika itakuwa siku ya furaha kuu.. Ila Team SELFIKA watakosa cha kutupia maana simu zote camera zake zitakuwa hazifanyi kazi kwa muda [emoji23]

Mimi kama nitaalikwa sasa...!

Hakuna kinacho shindikana maridhiano 2023
 
Nasikia uzi wake pendwa ni ule wa kula kimasihara
 
Keyboard warriors wakilambishwa asali wanakua praise team.

Wataimba mapambio na kupiga kaswida on top of their voices.
Hii nchi haiwezi kuendelea. Jitu nzima linawaza utoto hadi inashangaza. Kuna watu humu ndani waliruka stage ya utoto
 
Sijui siku hiyo itakuwaje

Mama kaweka wazi kuwa huwa anapitia huku JF na kuperuzi majukwaa mbalimbali, I am sure huwa kuna baadhi ya ID, post, replies huwa vinamchekesha sana

Yanayodhaniwa hayawezekani kuna siku yanaweza kuwezekana! Chakula cha usiku /get together wana JF na mama rais kwa mwaliko maalum! Siku hiyo hao watakaobahatika kualikwa I am sure watavunja makabati kwa kutafuta kiwalo kikali cha kuonekana kwenye video na rais

Sasa kichekesho kitakuja hapo ukumbini. Mama akiwa kakaa meza kuu anawaangalia waalikwa wake walivyo wapole na watakatifu. Kwakuwa kutakuwa hakuna kutambulishana ID za JF.. Basi mama atakuwa tu anafanya guess work kichwani mwake [emoji23]

Yule kwa kumtazama tuu ni rickboy Mzee wa kula tunda kimasihara
Yule kwa pozi lile ni Asprin mchaga kikongwe asiyependa kuzeeka(siku hiyo atakuwa kaenda saluni kuupiga uso deck na kuweka wave na super black[emoji23]

Mama akiendelea kuangaza kwa taratibu sana atamuona kwenye kona mtu mmoja katulia sana atajisemea huyu hakosi kuwa Bujibuji Simba Nyamaume

Kwa vyovyote Maxence Melo atakuwepo akiwa kapendeza sana! Huyu anawatambua baadhi ya members kwa sura.. Kuna kipindi atamuinamia mama na watateta jambo kisha watatabasamu, ujue hapo atakuwa kamuonyesha mama kuwa yule mzee mwenye suti pale ndio johnthebaptist na pale tayari keshaandika mada tatu za mistari 6

Kuna wanyange pia watakuwepo wamependeza mno kina Dr. Mariposa na wengine wengi

Hakika itakuwa siku ya furaha kuu.. Ila Team SELFIKA watakosa cha kutupia maana simu zote camera zake zitakuwa hazifanyi kazi kwa muda [emoji23]

Mimi kama nitaalikwa sasa...!

😂😂😂
 
Acha mama aendelee kufatilia ligi za mabingwa barani Jamiiforums,,.hakika kuna mitanange ya kukata na shoka [emoji4]
 
Huyu Jobless hajapata Alerts tu kwamba mama kasema anapitiaga JF,angekuwa kashapata taarifa jana ileile angeshaunda nyuzi zaidi ya 6 tusubiri apate bundle kwanza tuone
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom