Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,050
- 12,966
Dini hupumbaza watu zaiki kuliko kitu chochote. Dini haihimizi watu kufikiri, inawataka kila gumu wanalokutana nalo wasome vitabu majibu yao yamo humo, kwamba dini inafikiria kwa niamba yako, wewe akili uliyonayo ni kwa ajili ya kuvukia barabara tu.
Ndio maana unaweza kushangaa mtu anaua wenzake kwa mgongo wa dini, ni kwa sbabu dini imempumbaza na kumwambia ukiua ni baraka.
Sasa jana kaja dada yangu hapa kwangu, amekuja kufuatilia mambo yake binafsi kutoka mkoa mwingine. Amefika na mizingo(mabegi mengi), nikashangaa kidogo maana anasema atakaa siku 3 au 4 arudi kwake. Mojawapo ya hiyo mizigo ni begi moja kubwa lenye masananu ya watakatifu. Begi limejaa masananu. Usiku kabla ya kulala akayatoa sebuleni kwa ajili ya kuomba labla ya kulala, mara mtakatifu wa mambo magumu yaliyoshindikana, mara sijui mtakatifu wako binafsi, mtakatifu gani sijui.
Mimi ili kutomkwaza sister nikakaa sebuleni aombe tukalale, baada ya kumaliza kuomba akaanza kunihubiria, kuniambia niende kanisani nikaambiwe mtakatifu wangu binafsi wa kua ananiombea personally, sijui na mambo gani mengi. Sikutaka kumchallenge maana najua angekwazika sana alafu she is a little learned person. Basi kayaacha hayo masananu yake sebuleni.
Hakika dini ni ugonjwa mbaya sana, unapumbaza watu, dini ni ugonjwa unaoshambulia akili, kuidumaza, ni ugonjwa hatari kuliko hata saratani.
Hivi kumbe hapa Duniani kila mtu ana mtakatifu wake personally anaemsikiliza?