Dini ya kanye west

Dini ya kanye west

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
16,762
Reaction score
16,612
jamani nimeshtushwa sana na hii kitu aisee

eti ili kujiunga inakubidi upige picha ukiwa umeshika karatasi iliyoandikwa i blv in yezus

jamani mwenye data atoe hapa

aiseee mshituko
 
Wanaompenda watajiunga naee lakini mim never.....
 
Hivi umasaini mnajua kuandika na kusoma ? Masai dada hebu lete taarifa.


Sent from my iPhone
 
Kila kitu kina mwisho ni muda wao ku-shine na wao watapita kama walivyopita kina dodi♥princess diana,kina romeo na julliet kina bonnie and clyde etc! Kanye na kim watapita tu na huo udini wao.
 
Back
Top Bottom