Habari Wakuu,
Najua wengi wamekutana na jambo hili nina mpenzi wangu mwaka wa tatu sasa ila dini tofauti na nikimuuliza kuhusiana na dini anawaka anasema itakua namtafutia sababu tuachane.
Nifahaishane faida na hasara za kuishi kwa dini tofauti ndani ya ndoa.
Mimi Christian binti Islamic
Mmhhhhmm ... dear hata sijui nisemeje .. Binafsi nakushauri Fanya Funga na maombi ili Mungu akufunilie yaliyo sirini.... Hivi vitu vinasumbua sana Baadae .. I speak from my experience .. For what I went through I wouldn't want any of my children to go through this again.. Wazazi wangu hawakuwa Dini moja ..nililelewa Kiislam full na Madrasah niliisoma . Ilinichanganya nilipokuwa nikiona huku nalelelewa na kufunzwa Kiislam but kule watu wanakwenda Church kumshangilia Yesu kwa furaha nikitaka kwenda nakatazwa niliimbiwa kule hakunifai.. Kuna kipindi kulikuwa na mikutano Tanga High School , Makorora , Mkwakwani na Mabawa mtoto Mimi nimo si nilikuwa napagawa na miujiza niliyokuwa nikihadithiwa na watoto wenzangu.. Dear Siku ilifika nikasema hata na Mimi nataka nishuhudie kwa macho yangu.. Nilipoanza kushuhudia kwa macho hata Madrasah nikawa mtoro nilikuwa nashangazwa na nguvu za Huyu Yesu anayetoa mapepo , kufufua watu, na kufungua watu.. nikitoroka madrasah nikirudi home ni viboko tena vya nguvu .. pamoja nimechapwa leo kesho yake nilirudia tena .( mwili wote una makovu kwa fimbo sababu ? Ya Yesu) Hebu niambie je haya maisha unataka aje kupitia uzao wako.? Najua for now kila mtu atataka umuoe huyo mpenzio .. But what about your heart says? Beside the love you have for her..
Ndugu nakushauri kaa chini na mwenzio Fanya nae maongezi kwa utaratibu tuu na kwa Upendo .. Na usichoke kumuombea na kumuhubiria Habari Njema za Yesu .. Kwa maana sio waislamu wote wasiopenda kibadilisha Dini . Wengine ni waaoga. Wanaogopa kukataliwa na kupewa laana na wazazi ( Haya yalinikuta Mimi lakini hadi sasa bado Niko hai Nasonga na Yesu na anazidi kunipigania. Na mzazi amejirudi na wengine wanafuata mmoja mmoja ) . Dear maisha ya ndoa si kama ya Ku date or ya Uchumba. For now kila kitu unaona its okay because hamjaoana dear .. Mkishaooana maisha huwa yanabadilika ... Na katika hayo mabadiliko kunakuwa na mapito . Katika kipindi hicho chote mtamuhitaji Mungu sana na mtataka kuwa na ukaribu nae. Sasa sijui mtamuitaje huyo Mungu. Mtamuita as Jesus or as Allah.? Na maombi ya wanandoa yana Nguvu sana.. Kazi kwako .. Funga na Maombi Mungu akuongoze vyema.. Samahani nilipokukwaza. Good Luck.. Thanks..
kuna ndoa mseto,mnachagua mfungie wapi ndoa(msikitini au kanisani) baada ya hapo kila mtu anaendelea na utaratibu wake
wasiopata watoto ni malaliwa kweli... lakini kama kuna wasiwasi wa hilo mnaweza kwenda hospital kuangalia je kama mnauwezo wa kupata mtoto na kama haiwezekani mnakuwa aware kabla ya ndoa ... mkiingia huko huku mkijua hatuzai mtakuwa na namana ya kuishi... ila mkiingia bila kupima mkayakuta humo ndani kiukweli ni wachache wenye hekima wataweza ishi wengi huishia malumbano..Je wasipopata watoto? Maana watoto ni matokeo na majaaliwa.
Habari Wakuu,
Najua wengi wamekutana na jambo hili nina mpenzi wangu mwaka wa tatu sasa ila dini tofauti na nikimuuliza kuhusiana na dini anawaka anasema itakua namtafutia sababu tuachane.
Nifahaishane faida na hasara za kuishi kwa dini tofauti ndani ya ndoa.
Mimi Christian binti Islamic
Je wasipopata watoto? Maana watoto ni matokeo na majaaliwa.
kaboomkaboom dah leo umenigusa coz am in the same situation.
Habari Wakuu,
Najua wengi wamekutana na jambo hili nina mpenzi wangu mwaka wa tatu sasa ila dini tofauti na nikimuuliza kuhusiana na dini anawaka anasema itakua namtafutia sababu tuachane.
Nifahaishane faida na hasara za kuishi kwa dini tofauti ndani ya ndoa.
Mimi Christian binti Islamic
asante sana kwa ushauri wako nimeupitia kwa kila sentensi nimeelewa sana UbarikiweMmhhhhmm ... dear hata sijui nisemeje .. Binafsi nakushauri Fanya Funga na maombi ili Mungu akufunilie yaliyo sirini.... Hivi vitu vinasumbua sana Baadae .. I speak from my experience .. For what I went through I wouldn't want any of my children to go through this again.. Wazazi wangu hawakuwa Dini moja ..nililelewa Kiislam full na Madrasah niliisoma . Ilinichanganya nilipokuwa nikiona huku nalelelewa na kufunzwa Kiislam but kule watu wanakwenda Church kumshangilia Yesu kwa furaha nikitaka kwenda nakatazwa niliimbiwa kule hakunifai.. Kuna kipindi kulikuwa na mikutano Tanga High School , Makorora , Mkwakwani na Mabawa mtoto Mimi nimo si nilikuwa napagawa na miujiza niliyokuwa nikihadithiwa na watoto wenzangu.. Dear Siku ilifika nikasema hata na Mimi nataka nishuhudie kwa macho yangu.. Nilipoanza kushuhudia kwa macho hata Madrasah nikawa mtoro nilikuwa nashangazwa na nguvu za Huyu Yesu anayetoa mapepo , kufufua watu, na kufungua watu.. nikitoroka madrasah nikirudi home ni viboko tena vya nguvu .. pamoja nimechapwa leo kesho yake nilirudia tena .( mwili wote una makovu kwa fimbo sababu ? Ya Yesu) Hebu niambie je haya maisha unataka aje kupitia uzao wako.? Najua for now kila mtu atataka umuoe huyo mpenzio .. But what about your heart says? Beside the love you have for her..
Ndugu nakushauri kaa chini na mwenzio Fanya nae maongezi kwa utaratibu tuu na kwa Upendo .. Na usichoke kumuombea na kumuhubiria Habari Njema za Yesu .. Kwa maana sio waislamu wote wasiopenda kibadilisha Dini . Wengine ni waaoga. Wanaogopa kukataliwa na kupewa laana na wazazi ( Haya yalinikuta Mimi lakini hadi sasa bado Niko hai Nasonga na Yesu na anazidi kunipigania. Na mzazi amejirudi na wengine wanafuata mmoja mmoja ) . Dear maisha ya ndoa si kama ya Ku date or ya Uchumba. For now kila kitu unaona its okay because hamjaoana dear .. Mkishaooana maisha huwa yanabadilika ... Na katika hayo mabadiliko kunakuwa na mapito . Katika kipindi hicho chote mtamuhitaji Mungu sana na mtataka kuwa na ukaribu nae. Sasa sijui mtamuitaje huyo Mungu. Mtamuita as Jesus or as Allah.? Na maombi ya wanandoa yana Nguvu sana.. Kazi kwako .. Funga na Maombi Mungu akuongoze vyema.. Samahani nilipokukwaza. Good Luck.. Thanks..
upande wangu wanakubali hata serikalini ila upande wao hawataki kuelewaJaribu kujua ndugu wa pande zote mbili wanalichukuliaje hili ili ujue unakabiliana na changamoto zipi kabla ya kufanya maamuzi
asante sana nimefanikiwa hilo kwa sasa nipo huruKwa jinsi navyoona naona bora mkaachana now ... mkienda mbali ni kubaya zaidi
ah haa haa duh kweli huko mbele kubayaAchana nae aisee, au kama mnapendana sana mwambie abadili dini . Kuna mzee wangu mkubwa allikuwa na situation kama hyo lakini mwanamke akabadili dini wakafunga ndoa , wakapata watoto maisha yakaenda, sasa mzee amestaafu mwanamke amebadili tena dini na amefunga hataki.kupika hataki kutoa game nk. Amemtimua home
asante sana mimi nimefanikiwa tayari now nipo freeHapo ni maamuzi magumu tu kwa faida ya baadae...
I'm in the same situation ila naona km hilo jambo ni gumu sana bora kutafuta mwingine
Mpe mimba Kwanza azae ndio zungumzia masuala ya diniHabari Wakuu,