Hahahahahahahahahahahahaha!!!!!Nahisi jiwe ameitupa ile rozari aliyokuwa akiisifia kapewa na sister.
Hahahahahahahahahahahahaha!!!!!Nahisi jiwe ameitupa ile rozari aliyokuwa akiisifia kapewa na sister.
Hahahahahahahahahahahahah! jiwe limeitupa rozari!!!!!!Nahisi jiwe ameitupa ile rozari aliyokuwa akiisifia kapewa na sister.
Hakika unaumia mashavu kufikiri, Kiingereza gani hicho angalia "short stupid " hakuna sentensi kama hiyo au huo muunganiko wa "short stupid ".Hakika shule wengine nilienda kukariri ujingaI thought fools normally write short stupid, nonsense sentences, but i was wrong. Look at this fool!!! Maelezo mareeeefu halafu pumba tupu. Pole sana. Tuna safari ndefu sana....
Mkuu acha kutafsiri kiswahili kwenda Kiingereza umeandika mchanganyiko wa kachumbari na maharage, Haieleweki sentensi unaongelea wakati upi uliopo, uliopita au ujao, au wakati unaoendelea angalia sentensi hii "I thought fools normally " nani alikufundisha muunganiko huu wa thought Kama Past halafu fools normally, Hakika kazi ya kufundisha watoto ni shidaI thought fools normally write short stupid, nonsense sentences, but i was wrong. Look at this fool!!! Maelezo mareeeefu halafu pumba tupu. Pole sana. Tuna safari ndefu sana....
Tafadhali naomba nionyeshe nyaraka ya dini inayopapambana na serikali,maana umerudia maneno "nyaraka kupambana na serikali" zaidi ya mara moja.Maelfu wasio kuwa na access au upatikanaji wa hizo Waraka wanamsikiliza nani ? Hawa Viongozi wa dini ni kwa ajili ya waumini wao, Wengine sidhani Kama nyaraka zinawahusu kwani hawaamini katika Viongozi au makanisa hayo, Nyaraka zingetumika kujenga Kanisa na sio mapambano na watawala, watawala huja na wanapita haya makanisa Afrika yapo muda mrefu
Zinapatikana pale Azania front au nenda Kanisa la wabenedictine la St Joseph pale mjini omba Waraka kuelekea pasaka 2018 utapewa copy au Tafuta uzi humu somaTafadhali naomba nionyeshe nyaraka ya dini inayopapambana na serikali,maana umerudia maneno "nyaraka kupambana na serikali" zaidi ya mara moja.
Mosi,mimi sipo TZ.Zinapatikana pale Azania front au nenda Kanisa la wabenedictine la St Joseph pale mjini omba Waraka kuelekea pasaka 2018 utapewa copy au Tafuta uzi humu soma
1. Kama zingekuwa nyaraka kuhusu jinsi ya kuabudu labda ungekuwa sahihi, lakini nyaraka hizi zinavipengele vihusivyo jinsi serikali yetu inavyo tutawala na madhara yataokanayo na hayo. Hivyo basi misimamo iliyo katika nyaraka hizo hugusa waumini wao na wasio waumini wao yaani watanzania wote kwa ujumla.Maelfu wasio kuwa na access au upatikanaji wa hizo Waraka wanamsikiliza nani ? Hawa Viongozi wa dini ni kwa ajili ya waumini wao, Wengine sidhani Kama nyaraka zinawahusu kwani hawaamini katika Viongozi au makanisa hayo, Nyaraka zingetumika kujenga Kanisa na sio mapambano na watawala, watawala huja na wanapita haya makanisa Afrika yapo muda mrefu