Yataje tuuKuna makabila mengine hapana unahitaji moyo wa ziada kuishi nao, niyataje au sio sawa?
Love is chemical.
Emotions zote huwa ni chemical reaction ndani ya ubongo kabla hazijahamia moyoni.
Mapenzi yakikufanya kuacha dini(kumkana Mungu unayemuamini), basi hata maisha yatakushinda pia.
Siku zote kama mwanaume anatakiwa aongozwe na kichwa halafu moyo ndio ufuate, ukiruhusu moyo uongoze kichwa unavua sifa ya kuitwa mwanaume.
Ninapinga mtu kukana dini yake kwa sababu ya mapenzi(chemical reaction in the brain)
Hahaha....sijui uyataje tu?.... Au bas potezea maana watakushambulia hapa na flat zao.Kuna makabila mengine hapana unahitaji moyo wa ziada kuishi nao, niyataje au sio sawa?
Yule mchumba wako mpya uliempata mzima?.......Msalimie!Kiukweli naweza olewa na mtu Wa kabila tofauti na langu ila napo nabagua kidogo lakini mutu isiyo ya dini yangu, bas tena!!!! Cwez kumkana Mungu kwa sababu ya mutu.
Haaa, yupi tena jamani?Yule mchumba wako mpya uliempata mzima?.......Msalimie!
Mungu hana diniKiukweli naweza olewa na mtu Wa kabila tofauti na langu ila napo nabagua kidogo lakini mutu isiyo ya dini yangu, bas tena!!!! Cwez kumkana Mungu kwa sababu ya mutu.
Acha hizo, umepata mchumba mpya!!! .....Halafu unampenda saaaana na hutaki umpoteze!Haaa, yupi tena jamani?