Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,729
- 5,639
"....... And a new religion shall sweep across the land."
Matukio ya watoto kuua wazazi, wanandoa kuua wenzi wao, haya mambo yanaonyesha mabadiliko katika falsafa za watu.
Watu wanajiuliza kama wanahitaji mke. Haya mambo Godbless Lema alikuwa anayazungumzia leo asubuhi. Kuna tatizo gani? Hakuna tatizo. Ni dini ya Shetani tu. Certainly hao watu hawahitaji kupimwa afya ya akili.