Dini au Uganga?

Dini au Uganga?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,579
Reaction score
161,431
Nabii Joshua Mwantyala akiwanyunyizia 'maji ya tiba' kinywani wananchi waliofika katika mkutano wake wa neno la Mungu wenye lengo la kuwaombea watu wenye magonjwa sugu wakiwemo wenye Ukimwi, Mjini Vwawa, Mbozi mkoani Mbeya. Nabii huyo juzi alianzisha huduma ya kugawa matone ya maji anayodai ni 'majibu ya maajabu ya Loliondo'.

209841_182283571817337_5883153_o.jpg
 
Usipo jua vema neno la Mungu ni tabu sana,kila elimu ya uongo itakupeleka.
 
suti ya nabii....................:confused2:
 
Yesu akasema, "MIMI ndimi njia, kweli na uzima; mtu haji kwa BABA ila kwa njia ya MIMI"...
 
(O.O.O) .... ''Na watatokea Manabii wauongo'' + tunatazama lakini hatuoni + tunasikia lakini hatuelewi :::::: Yale ya kweli hupingwa na kupakwa matope kila mtu huyakana na kuamua kufuata njia rahisi ya uongo.... Peace of the father.. (off topic)
 
manabii,mitume walishakufa zamani jamani, yaaan mtu anajiita nabii ivi haogopi wale walikuwa na karama zao na walikuwa waadilifu wa ukweli.
 
Back
Top Bottom