Hahahaaaa ndio baba zako sieHakika wanaume watu wa ajabu sana. Huwa mnanishangaza baadhi ya vitu mnavyovutiwa navyo kwa kweli siwaelewi kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo hivyo navikubali sana,bora mwanamke asiwe na papuchi lakini vitobo hivyo viwepo
Mshana umeongea vigezo vyoote, ukakisahau hiki kilichonifanya nimsanehe mke wangu japo alinilaza njaa
Kho kho
Majibu kutoka kwangu baba yeyoo au kwani kuna swali uliniulizaNasubiria majibu
[emoji3] [emoji3] [emoji3]hahaha yaan mshana jr sijui unapatga wapi hizipic lol! mie mpk leo nacheka ile uliyorusha ya mdada mwenye lips nene jaman nacheka bado!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mshana umeongea vigezo vyoote, ukakisahau hiki kilichonifanya nimsanehe mke wangu japo alinilaza njaa
Kalio ulembo tu ladha bumunda mtani[emoji85]Mtani nyie si ndiyo mnataka kalio siamini mnataka tukatoboe na haya mashavu ya uso kuweka dimpos
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweliSio kweli
Kwani kuna aina gani za mianya mkuu? Wa kwangu uko mbele upande wa juu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ila zote ladhaacha kumdanganya mshana, alie lia rost ya kuku kwenye chombo cha udongo, radha yake havilingani na yule alie lia kwenye bakuli la plastiki[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mtani nyie si ndiyo mnataka kalio siamini mnataka tukatoboe na haya mashavu ya uso kuweka dimpos
Sent using Jamii Forums mobile app