Mkuu nini tena si umeshavutiwa??First thing first..naogopa kuuziwa mbuzi kwenye gunia![]()
![]()
![]()
Kwa hiyo unamaanisha ni ulemavu. Haya bwanamwanya ni tatizo katika mpangilio wa meno......kwa kawaida no spacing kati ya jino na jino
Acha umbea Mshana... Unataka kunipeperushia ndege wangu nakuona nakuona
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmhhhwadada wenye mwanya na dimples huwa ni matata mno hawajatulia hao
Kuvutiwa ni hatua ya kwanza, ya pili ni kujua yaliyomo yamo?? au yamebaki makinikia tu

Asantee twinnie...hongera na weweOyeeeee.
Hongera zako pacha na tulio na mwanya oyeeeeeee
Kwema mpenzi??
Hahaa unataka upewe mwenyewe vyote? Acha hizo mremboAsantee twinnie...hongera na wewe
Nawish ningekuwa na mwanya pia
Sijui ning'oe meno ya hapa mbele🙂
Hee basi kwa heriKuvutiwa ni hatua ya kwanza, ya pili ni kujua yaliyomo yamo?? au yamebaki makinikia tu![]()
![]()
Hahahahh mbona wengine wanavyo vyote jamani
Hahaaa. Umenichekesha pacha ila using'oe bana.Asantee twinnie...hongera na wewe
Nawish ningekuwa na mwanya pia
Sijui ning'oe meno ya hapa mbele🙂
Kuvutiwa ni hatua ya kwanza, ya pili ni kujua yaliyomo yamo?? au yamebaki makinikia tu![]()
![]()
HahahahhHahaaa. Umenichekesha pacha ila using'oe bana.
Hujamsikia mshana kasema kuna vitu havichakachuliki. Ila weekend hii tunaimaliza kwa kusifiwa lol.