Dillema . . .

hapo mie nasema jukumu lako...maana dah we angalia ulafi wako upo wapi ndg....kwa murembo au mchapakaz
 
Naomba nirejee haya maneno yako "kwanza ni mzuri wa sura na umbo but ni kilaza ktk majukumu yake" hapo tu... mambo mengine baadae,
 
You are just a confused child there is no dilema there. when the confusion is over u will see things clearly and that comes with age.
 
endelea kufanya nao tendo la ndoa sababu tayari umeisha funga nao ndoa ya kipagani kwenye kanisa la uzinzi.
 
hahha safi kijana wala usiwe na presha hapo chakufanya ni kunata kwa huyo mwenye juhudi alafu mrembo unaendelea kumgegeda tuu....kwanza hao warembo raha sana kuwa chezzea na kujisepea zako

we na migegedo 2!
 
Ongeza wa tatu
itakuwa rahisi kupiga ananado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…