Dillema . . .

hahha safi kijana wala usiwe na presha hapo chakufanya ni kunata kwa huyo mwenye juhudi alafu mrembo unaendelea kumgegeda tuu....kwanza hao warembo raha sana kuwa chezzea na kujisepea zako
 
Ebu soma umalize acha kukimbilia uzinifu, necta zitakuumbua
 
Oa wote, kama dini hairuhusu badili ili uwafaudu wote:A S angry:

Nimeipenda hii. Yule wa mwanzo awe anawalingishia marafaki mana-ke kuna hizo, eti marafiki wakusifie yule demu wa ... mkare, wakati hakupi mambo vizuri. Yule wa pili ndo utakuwa unamfaudu bila kuwaringishia marafiki zako mwayego.
 
heheeee hembu kamalizie kuvaa pampers ndio ukuje huku khe!.
 
Nashangaa mpaka sasa hakuna bazazi aliyekuja hapa kukwambia "Niunganishie wote niwatest kwanza halafu ntakwambia".
 
Dahhhhh aisee
kama unatafuta mtu alie
Perfect na kila kitu utazunguka kote na waweza usipate .

angalia mtu alie perfect to you & don't worry about what other people think .

Kumbuka we ndio utakae ishi nae .
 
Chukuwa mchapa kazi maana uzuri wa uso na umbo hivyo vyote ni vya muda akisha zaa wala havitakuwepo ila chapa kazi tabakia pale pale
 
hahha safi kijana wala usiwe na presha hapo chakufanya ni kunata kwa huyo mwenye juhudi alafu mrembo unaendelea kumgegeda tuu....kwanza hao warembo raha sana kuwa chezzea na kujisepea zako

hutaki oa mrembo wewe, ataoa asiye na sura ashindwe kumtambulisha mbele za watu
 
wewe umezini afu unasema umefanya tendo la ndoa,,, ndoa ipi hapo? rekebisha kauli ndoa sio lelemama.......
 

ukikua utajua tu ipi mbichi na ipi iloiva.......

ila kwasasa, endelea tu kubaki kwenye hiyo dillema
 
wanchekeshaaaa...!

uzuri hauliwi lol. akili kumkichwaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…