Pure Mathematics
Senior Member
- Mar 8, 2012
- 174
- 52
Heshima kwenu wanaMMU. Naomba busara zenu ktk hili. Kuna wasichana wawili marafiki zangu(hawajuani), na wote nimeshawah kufanya nao tendo la ndoa. Wa kwanza ni mlimbwende kweli, yan ukipita nae njian lazima vijana kwa wazee rijali wakugeukie but weakness yake kubwa ni mvivu na haelekezeki. Wa pili ni wakawaida na ni mchapakazi kweli yan hata uki"do" nae huishi hamu utataka tena na tena. Problem inakuja sasa nani nijicomit nae permanently coz wa kwanza ni mzuri wa sura na umbo but ni kilaza ktk majukumu yake, but wa pili hana mvuto wa sura but anajituma kwa kila kitu. Nipo dillema wadau, just yo advice!
Best of luck!
Hao ndiyo "just friends"?

vitoto bwana
Mkuu AZ inaweza ikawa si mtoto,,usihukumu watoto kuna watoto wengine wana akili timamu,,Huyu labda ungemtafutia jina lingine Au unaonaje?vitoto bwana
Uamuzi unao wewe kulingana na maisha ukiyonayo,naweza kukushauri umchukue mchapa kazi lakini ukashindwa kuwa nae kwa kuwa tu si mzuri wa umbo na sura,kwa ushauri wangu wa mambo haya ya uzinzi wa kujitakia na ambao ni hatari kwa ustawi wa jamii nakushauri ifuatavyo,wakutanishe wajuane kuwa wanakula nawe sahani moja na baadaya hapo ndio utajua ni nani hasa waweza kuwa naye.Heshima kwenu wanaMMU. Naomba busara zenu ktk hili. Kuna wasichana wawili marafiki zangu(hawajuani), na wote nimeshawah kufanya nao tendo la ndoa. Wa kwanza ni mlimbwende kweli, yan ukipita nae njian lazima vijana kwa wazee rijali wakugeukie but weakness yake kubwa ni mvivu na haelekezeki. Wa pili ni wakawaida na ni mchapakazi kweli yan hata uki"do" nae huishi hamu utataka tena na tena. Problem inakuja sasa nani nijicomit nae permanently coz wa kwanza ni mzuri wa sura na umbo but ni kilaza ktk majukumu yake, but wa pili hana mvuto wa sura but anajituma kwa kila kitu. Nipo dillema wadau, just yo advice!
Best of luck!
kuwajua uwajue wewe then ushauri tukupe sisi are you serious kweli?Heshima kwenu wanaMMU. Naomba busara zenu ktk hili. Kuna wasichana wawili marafiki zangu(hawajuani), na wote nimeshawah kufanya nao tendo la ndoa. Wa kwanza ni mlimbwende kweli, yan ukipita nae njian lazima vijana kwa wazee rijali wakugeukie but weakness yake kubwa ni mvivu na haelekezeki. Wa pili ni wakawaida na ni mchapakazi kweli yan hata uki"do" nae huishi hamu utataka tena na tena. Problem inakuja sasa nani nijicomit nae permanently coz wa kwanza ni mzuri wa sura na umbo but ni kilaza ktk majukumu yake, but wa pili hana mvuto wa sura but anajituma kwa kila kitu. Nipo dillema wadau, just yo advice!
Best of luck!