Dillema about Lowassa

Dillema about Lowassa

Future president

Senior Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
144
Reaction score
39
Moyo wangu na hata miyoo ya watu wengine tunapata mgagasiko kuhusu umakini wa lowasa,upande mmoja namuona kama atakuja kuwa kiongozi makini na hasiye na masihala na upande mwingine namtilia shaka naona kama ataweza kuididimiza nchi,hii kutokana na uwekezaji wa pesa katika kuutaka uraisi,wewe mwana jf naomba niondoleeni mgagasiko huu
 
Tuache masihala,mana kuna baadhi ya wengi hata humu jf wanamuamini sana mh lowasa,sasa inawezekana wakawa sahihi au wasiwe sahihi,tuwafumbue au tuwaaminishe na imani yao
 
hizi thread zingerundikwa zote seehemu moja wenye migagasuko wakaziibue huko na kuepusha mipepesuko ya thread nyingine
 
Mimi binafsi namkubali. Naona atakuwa mtawala mzuri

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mbna nasikia ccm walim ban mpaka mwakani ......ndomana haonekani ktk kampeni yake ya chini chini ya urais
 
Back
Top Bottom